Hivi hiyo ni degree ya Ualimu auHabarini Wana jf...mimi ni mwanafunzi wa chuo mwaka wa pili nasoma Bsc in chemistry. hivyo nahitaj kujitolea wakati wa likizo kuanzia mwezi wa nane Hadi kumi na moja. mwenye connection kiwanda chochote au mwenye kujua taratibu za kupata nafasi naomba Msaada.
@everyone
Huwa mnajihusisha na nini hasa?am not a teacher by professional labd niforce t
zipo na kazi zinatangazwa bt kupata ndo ivo bahatiHuyo sio mwalimu ni chemists, ila baada ya kumaliza nasikia wanakuwa walimu
Tangu 2014 sehemu za field huwa ni shida sijui kwa sasa
Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app