TZ-1
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 4,321
- 7,501
Habari:-
Wakat tunaendelea kuishi pia tunaendelea kujifunza na kukumbushan.
Maisha bado ni hatua na kufanikiw tuu kwa kias cha kawaida (kuwez ku mudu nahitaji ya msingi ya maisha bado ni kipengele hasa katk taifa hili letu ambalo limejengew mising ya ovyo na misingi ambayo huwabeba wachache tuu wakat nimepumzk mda huu nikiyatafakar maisha ( kufanya backTest ya maisha yangu ndani ya (miaka kumi ) iliyopta na hapa nilpo bado naona mambo magumu kwakweli.
MIMI bado sijakata tamaa japo inakatisha tamaa ila niwakumbushe tuu wale wapambanaji wenzangu mambo haya muhimu kuw nayo ili kuweza kufikia hatua fula ikiw ni:
1: KUJITUMA KATIK KAZI ZAKO
iwe umeajiriwa hakiksh pia unajiajiri
2: USTAMILIVU
HApa huwashind wengi ila hakuna njia ya mafanikio utaipata bila jasho na damu (changamoto ni sehemu ya kukupm ili uingie hatua ingine ya mafanikio au ya umaskin
3: SUBIRA
Kamwe hakuna overnight success ukijua hili utakuw na safr nzur na utafika kwenye hatua ya maisha unayoisaka, Vijan wengi hupotea hapa sana na kuwaz maisha ni bongo movies
NB: Nilichoandika hapo kinawahusu wale ambao tayari wapo katika mapambano ya maisha, wako rasmi nyie wengine jazia nahiz ili ufanikiw epuka vtu hivi:
Ukielew ujumbe beba msingi wa ujumbe utakusaidia pia jazia na mtazamo wako.

- WIVU
- UBINAFS USIOFAA
- USIMTEGEE MTU KUW NDIO ATAFANIKISH MAISH YAKO 97% WALIOTEGEMEA WENGINE WALIFELI
- UNGANA NA WATU WENYE MALENGO SAWA
- JI CONTROL (TIME MANAGEMENT )
- UKIWEZA NENDA KASAKE FURSA NJE YA MJI ULIOZALIW (MBALI NA MACHO YA NDUGU)