Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vena. Ma hi yo kadi nitaipatajeFuata hatua zifuatazo kujisajili chadema na kulipa ada zako
Chadema digital [emoji2147]View attachment 1506729
Fuata hatua zifuatazo kujisajili chadema na kulipa ada zako
Chadema digital [emoji2147]View attachment 1506729
This is purely bussiness.Fuata hatua zifuatazo kujisajili chadema na kulipa ada zako
Chadema digital [emoji2147]View attachment 1506729
HahahahaThis is purely bussiness.
Theluthi ni kubwa na fikiri ni chini ya hapo sana kama 1/20! Imagine, wanachama wa CHADEMA!WaTanzania wanaojua play store ni kitu gani ni thelusi ya wananchi wote,na walioko mjini na ni thelusi ya wote watakao pakua hiyo App..yani nchi yangu bana
Badae watakuwa wazima nk iko powaMbona inatoa mwanya hadi kwa wanafunzi wadogo wanaomiliki smartphone kujisajili?
Au kuna hatua inawadhibiti wao kufanya hivyo ndani ya huo mchakato wa kujisajili?
Tuwaruhusu na kunywa pombe maana baadaye watakuwa wazima vilevile.Badae watakuwa wazima nk iko powa
NGOJA nisubiri Kwanza mnampitisha Nani kwenye UraisFuata hatua zifuatazo kujisajili chadema na kulipa ada zako
Chadema digital [emoji2147]View attachment 1506729