Maige Chagu
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 237
- 245
Kupoteza muda tu,chama hili halina mvuto tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii Chadema inayokula ruzuku za chama ndio mnaipigia promo wananchi wajiunge? Na mkizile hela zao? Maana michango ya wabunge mlikula mpaka sasa haijulikani ilipo. Na bil 8 za deni hewa kuna mtu mlilipa.
Mungu ibariki ChademaFuata hatua zifuatazo kujisajili chadema na kulipa ada zako
Chadema digital [emoji2147]View attachment 1506729
Jiandae uende kwenye tukio kubwaWaTanzania wanaojua play store ni kitu gani ni thelusi ya wananchi wote,na walioko mjini na ni thelusi ya wote watakao pakua hiyo App..yani nchi yangu bana
Fasta nimeshafanya yanguKaribu sana.. chama makini hiki, sio kama mnogamboga
Na nyie mbogamboga mufanye biashara kama hiiHakika Chapombe Mbowe is so genious....he knows how to play with his Nyumbus... this is pure business and its Mbowe’s Business and he is in need of money let him make money!
Mbowe is so genious...
veggies imewauma sana wamebakia KUSEMA ni uwiziHii iko poa sana, ila tu uthibitisho kama ni halali wasijejitokeza matapeli wapige hera hapa
Ngumbaru bwana! Yaani mpaka mnatia huruma, haya mambo ya kisasa kwa dunia ya kisasa.Tuwaruhusu na kunywa pombe maana baadaye watakuwa wazima vilevile.
Irrelevant!Ngumbaru bwana! Yaani mpaka mnatia huruma, haya mambo ya kisasa kwa dunia ya kisasa.
Ndio mambo ya kujivunia katika ulimwengu huu tofauti na kujivunia ndege iliyonunuliwa cash kwa nusu Trilioni na imepaki tuu Airport na kilometa zisizo zidi 50 kuelekea kusini unakutana na wananchi wanakunywa maji na ng'ombe mchana kwenye bwawa ambalo usiku fisi na nguchiro nao wanakuja kujivinjari.
Heri ya hao wanafunzi, hawana madhara makubwa kuliko wachafuzi wengine, hasa kutoka kwa mahasimu wao.Mbona inatoa mwanya hadi kwa wanafunzi wadogo wanaomiliki smartphone kujisajili?
Au kuna hatua inawadhibiti wao kufanya hivyo ndani ya huo mchakato wa kujisajili?
You label that as 'irrelevant', what is relevant to you? You must be deep in hallucination!Irrelevant!
Nakazia verification ni muhimu .Heri ya hao wanafunzi, hawana madhara makubwa kuliko wachafuzi wengine, hasa kutoka kwa mahasimu wao.
Ni lazima pawepo na hatua ngumu ya kuzuia hujuma katika usajiri huo. Waongeze hatua ya 'verification' kabla ya kufikia hatua ya mwisho.
To whom are you referring?You label that as 'irrelevant', what is relevant to you? You must be deep in hallucination!