Kujiunga CHADEMA sasa Kidigitali, hakuna haja ya kupanga Foleni

Mbona inatoa mwanya hadi kwa wanafunzi wadogo wanaomiliki smartphone kujisajili?
Au kuna hatua inawadhibiti wao kufanya hivyo ndani ya huo mchakato wa kujisajili?
 
WaTanzania wanaojua play store ni kitu gani ni thelusi ya wananchi wote,na walioko mjini na ni thelusi ya wote watakao pakua hiyo App..yani nchi yangu bana
Theluthi ni kubwa na fikiri ni chini ya hapo sana kama 1/20! Imagine, wanachama wa CHADEMA!
 
Wizi mwingine huu ndani ya chama changu,pesa inatafutwa kwa kila namna na huyu DJ wangu
 
Haukawii kusikia iko kinyume na sheria za mtandao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…