Mnyaluhala.
JF-Expert Member
- Jul 28, 2012
- 1,430
- 1,785
Wadau naomba msaada nina principle mbili za vyeti tofauti yaani moja ya kurisiti zote ni E. nimejaribu kuaply kupitia tcu lakini system inasema sina principle za kutosha, sasa je naweza kusoma degree kwa sifa hizo? naweza kuomba chuo moja kwa moja bila kupitia tcu? sihitaji mkopo wa bodi ya mikopo. Mawazo yenu nayaheshimu sana wadau.