Kujiuzulu kwa Mh. MO Simba ni kwa mujibu wa kanuni au ni kutokana na kazi zake nyingi?

Kujiuzulu kwa Mh. MO Simba ni kwa mujibu wa kanuni au ni kutokana na kazi zake nyingi?

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Kanuni za biashara na uwekezaji ndizo zilizomlazimisha mo kujiuzulu uwenyekiti simba au ni kwakuwa mo anasafiri sana nje ya nchi?

Wenye ujuzi kwenye hili atudadavulie. Kuwa mwekezaji na kuwa mwenyekiti ni sawa?
 
Mo kaeleweka vyema tu ila wewe unamajibu yako mfukoni!
 
Back
Top Bottom