kavulata JF-Expert Member Joined Aug 2, 2012 Posts 13,778 Reaction score 14,214 Sep 30, 2021 #1 Kanuni za biashara na uwekezaji ndizo zilizomlazimisha mo kujiuzulu uwenyekiti simba au ni kwakuwa mo anasafiri sana nje ya nchi? Wenye ujuzi kwenye hili atudadavulie. Kuwa mwekezaji na kuwa mwenyekiti ni sawa?
Kanuni za biashara na uwekezaji ndizo zilizomlazimisha mo kujiuzulu uwenyekiti simba au ni kwakuwa mo anasafiri sana nje ya nchi? Wenye ujuzi kwenye hili atudadavulie. Kuwa mwekezaji na kuwa mwenyekiti ni sawa?
Alexander Lukashenko JF-Expert Member Joined Sep 9, 2017 Posts 4,140 Reaction score 9,667 Sep 30, 2021 #2 Kawaambia safari Nyie mnalazimisha sababu zenu. Wabongo tunashida gani?
kavulata JF-Expert Member Joined Aug 2, 2012 Posts 13,778 Reaction score 14,214 Oct 1, 2021 Thread starter #3 ukikaidi utapigwa2 said: Kasema ana safiri sana hana mda wa ku deal na Simba Click to expand... Safari nyingi zimezuka baada ya mechi ya ngao ya jamii na mechi dhidi ya Biashara utd?
ukikaidi utapigwa2 said: Kasema ana safiri sana hana mda wa ku deal na Simba Click to expand... Safari nyingi zimezuka baada ya mechi ya ngao ya jamii na mechi dhidi ya Biashara utd?
Singasinga JF-Expert Member Joined Aug 27, 2011 Posts 2,711 Reaction score 3,279 Oct 1, 2021 #4 kavulata said: Safari nyingi zimezuka baada ya mechi ya ngao ya jamii na mechi dhidi ya Biashara utd? Click to expand... Msimu ndio umeanza kwa hiyo lazima kuwepo na mikakati kulingana na msimu husika
kavulata said: Safari nyingi zimezuka baada ya mechi ya ngao ya jamii na mechi dhidi ya Biashara utd? Click to expand... Msimu ndio umeanza kwa hiyo lazima kuwepo na mikakati kulingana na msimu husika
kavulata JF-Expert Member Joined Aug 2, 2012 Posts 13,778 Reaction score 14,214 Oct 1, 2021 Thread starter #5 Singasinga said: Msimu ndio umeanza kwa hiyo lazima kuwepo na mikakati kulingana na msimu husika Click to expand... Timing yake ina mashaka, alishawahi kujiuzulu pia huko nyuma baada ya mechi
Singasinga said: Msimu ndio umeanza kwa hiyo lazima kuwepo na mikakati kulingana na msimu husika Click to expand... Timing yake ina mashaka, alishawahi kujiuzulu pia huko nyuma baada ya mechi
Curtis G JF-Expert Member Joined May 4, 2015 Posts 415 Reaction score 544 Oct 1, 2021 #6 Mo kaeleweka vyema tu ila wewe unamajibu yako mfukoni!
Singasinga JF-Expert Member Joined Aug 27, 2011 Posts 2,711 Reaction score 3,279 Oct 1, 2021 #7 kavulata said: Timing yake ina mashaka, alishawahi kujiuzulu pia huko nyuma baada ya mechi Click to expand... Hapana ni mikakati tu,sema tunaunganisha dot sana
kavulata said: Timing yake ina mashaka, alishawahi kujiuzulu pia huko nyuma baada ya mechi Click to expand... Hapana ni mikakati tu,sema tunaunganisha dot sana
kavulata JF-Expert Member Joined Aug 2, 2012 Posts 13,778 Reaction score 14,214 Oct 1, 2021 Thread starter #8 ukikaidi utapigwa2 said: Anajua mwenyewe mi na quote alicho sema Click to expand... dk 40 simba vs dodoma hakuna bao, sasa naelewa kwanini mo amejiuzulu, no value for money
ukikaidi utapigwa2 said: Anajua mwenyewe mi na quote alicho sema Click to expand... dk 40 simba vs dodoma hakuna bao, sasa naelewa kwanini mo amejiuzulu, no value for money