Kujiuzulu kwa Ndugai ni mpango wa Mungu kwa Tanzania ili tupate Spika Bora. CCM itateua Spika Bora au Bora Spika kama kawa?

Kama unaamini Ni Mpango WA Mungu Ndugai aende, sasa Kwa nini unatuuliza anayekuja? Wacha mpango wa Mungu uendelee!

Sasa wewe unataka maoni yetu ya nini Na ushaseme Na maoni ya Mungu, ngoja sie tut aangalie tu, usituchoshe!
 
Yote ni mi CCM msicheze Na akili Za watu ,imeingia madarakani kwa nguvu Za dola, jeshi Polisi tiss . Watu wameuliwa Na wengine ni vilema . Mi CCM imelaanika hiyo haina kheri hata moja
 
Kama unaamini Ni Mpango WA Mungu Ndugai aende, sasa Kwa nini unatuuliza anayekuja? Wacha mpango wa Mungu uendelee!

Sasa wewe unataka maoni yetu ya nini Na ushamba Na maoni ya Mungu, ngoja sie tut aangalie tu, usituchoshe!

Anataka tufanye Bet.
 
Tiba kuu ya hii nchi ni KATIBA MPYA jadili chochote utarudi hapo .Hebu tupitie haya:
1.Spika anachaguliwa na mwenyekiti (Rais /mkuu wa serikali) na kamati yake ,ambapo baadhi ya wanakamati ni mawaziri au wanakaa viti serikalini
2.Kisha anaenda kushawishi wabunge jinsi atavyowageuka waliompitisha jina kwa kuwakagua ,kuwakosoa na kuwasimamia kwa weledi bila shaka.Huku hatma ya kurudishwa jina lake kwenye uchaguzi ujao wa spika iko kwa wajumbe wa nec ambao ubora wa kazi yake ni kuwa kosoa na kuwasimamia.
3.Ili rais arudi madarakani anahitaji wananchi wawe na imani na serikali yake ,kazi ya spika ni kusimamia wabunge kuhakikisha imani hiyo sio fake ,kuhakikisha haisifiwi kwa uongo.(mkanganyiko)
4.Serikali ikiwa badhilifu inahitaji pia ipewe nafasi kubadilika na wananchi waipe nafasi kwa huruma ,kazi ya spika ni kuhakikisha wabunge wanasimama na ukweli wote kwa kusema yote ambayo inaharibu nafasi ya kurudi kwa HURUMA.
5.Serikali ikiwa sio badhilifu,maana yake imesikiliza hoja za bunge ambalo spika anaendesha vyema,Maana yake wabadhilifu wametolewa kazini,wameanikwa ,wamenyanganywa tonge ,wameshatakiwa etc ,KUMBUKA wabadhilifu hao wako bado ndani ya kamati za maamuzi za spika ajae kupitishwa jina ndani ya vikao.
 
Kama CCM imeshindwa kutupatia rais bora kwa muda mrefu sasa watawezaje kutupatia spika bora? Tuendelee na huu utaratibu wa bora rais, spika, pm nk.
 
Ile kauli ya Rais bora au kiongozi yoyote bora atatoka CCM naipinga vikali unless wanaotoa kauli za namna hiyo wana mawasiliano na Mungu Muumba moja kwa moja.

Kwamba waTanzania wote sisi ukiwa CCM tu wewe ndio bora?

Hii inakaribia kuwa kufuru.

Hakuna chama na hasa hapa Afrika kinaweza kutakatifushwa kiasi hicho.

Ubatili mtupu.

Wapiga kura wasivurugwe akili kuwa kuchagua wasio CCM hawafai. Ndiyo viwepo vigezo makini lakini kuwa CCM siyo kigezo kisicho jadilika.
 
Kaka Paskali!
kuu ya hii nchi ni KATIBA MPYA jadili chochote utarudi hapo .Hebu tupitie haya:
1.Spika anachaguliwa na mwenyekiti (Rais /mkuu wa serikali) na kamati yake ,ambapo baadhi ya wanakamati ni mawaziri au wanakaa viti serikalini
2.Kisha anaenda kushawishi wabunge jinsi atavyowageuka waliompitisha jina kwa kuwakagua ,kuwakosoa na kuwasimamia kwa weledi bila shaka.Huku hatma ya kurudishwa jina lake kwenye uchaguzi ujao wa spika iko kwa wajumbe wa nec ambao ubora wa kazi yake ni kuwa kosoa na kuwasimamia.
3.Ili rais arudi madarakani anahitaji wananchi wawe na imani na serikali yake ,kazi ya spika ni kusimamia wabunge kuhakikisha imani hiyo sio fake ,kuhakikisha haisifiwi kwa uongo.(mkanganyiko)
4.Serikali ikiwa badhilifu inahitaji pia ipewe nafasi kubadilika na wananchi waipe nafasi kwa huruma ,kazi ya spika ni kuhakikisha wabunge wanasimama na ukweli wote kwa kusema yote ambayo inaharibu nafasi ya kurudi kwa HURUMA.
5.Serikali ikiwa sio badhilifu,maana yake imesikiliza hoja za bunge ambalo spika anaendesha vyema,Maana yake wabadhilifu wametolewa kazini,wameanikwa ,wamenyanganywa tonge ,wameshatakiwa etc ,KUMBUKA wabadhilifu hao wako bado ndani ya kamati za maamuzi za spika ajae kupitishwa jina ndani ya vikao
 
kuna vitu vya kuangalia nakujiuliza, 1.je ule utaratibu wakuihoji serikali nakuikosoa ukiwa mwana ccm nakuitwa msaliti umekoma?2.spika nilazima atakua mwana na mjumbe wa wakamati kuu ccm, kwakua bunge ni laccm je mjumbe wa kamati kuu ya ccm anaweza kuihoji nakuruhusu mijadala huru ndani ya bunge? je?samweli sita aliyekua bora kwa watanzania katika kuliongoza bunge lenye uhuru alipendwa na wana ccm? je'ndugai spika mbovu kuwahi kutokea ktk bunge ccm walimchukia? kilichomponza ndugai nipale alipoihoji serikali, nani atakua tayari kujitoa mhanga tena mbele ya bunge zima la ccm? kabla yakuhoji kama tutapata spika bora ndani ya ccm ni vema tukajiuliza wabunge wa bunge la ccm wako tayari kusimama ktk utumishi wao kama katiba inavyowataka?
 
Wameshaamua CHENGE awe Spika kwenye Kikao cha Siri kilichofanyika wiki 2 zilizopita
 
Sehemu nchi hii ilipogota, ni pale tunapoona kuwa ccm ndio inahaki ya kuiongoza hii nchi kila sehemu.
Tulikuwa na nafasi nzuri ya kuichalenji ccm kwa upande wa Zanzibar kwa kukiacha chama kingine kitawale na kifanye mabadiliko yake ila hiyo fursa imezibwa sababu mkubwa hataki kushindwa kwake kuonekana hadharani
 
Mwenyekiti wenu kawaambieni "kuleni sawa na urefu wa kamba zenu bila kivimbewa"---- kosa ni kuvimbewa ila kula sio kosa.

🤣🤣
 
Paskali huu mpango wa Mungu alianza kuuonesha tangu jpm alipofariki.
Sasa nchi imekua na furaha tele, na sasa bado Makonda sherehe zitatamalaki kila kona
 
Wameshaamua CHENGE awe Spika kwenye Kikao cha Siri kilichofanyika wiki 2 zilizopita

Yule mzee wa vijisenti??!!---- kwa ruksa ya kula kutoka kwa bosi wao huyo si ndiye atakula hadi avimbiwe!!? 🤣🤣
 
Mmhh🤔,Sasa tufanyeje?
 
Mbona kawa specific maybe hujasoma article yake hadi mwisho kaweka link ya thread ya speaker anayemkubali (Andrew Chenge )
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…