Kujiuzulu kwa Ndugai ni mpango wa Mungu kwa Tanzania ili tupate Spika Bora. CCM itateua Spika Bora au Bora Spika kama kawa?

Naunga mkono hoja, Chenge ni Akili kubwa !!
 
 
Kama unaamini Ni Mpango WA Mungu Ndugai aende, sasa Kwa nini unatuuliza anayekuja? Wacha mpango wa Mungu uendelee!

Sasa wewe unataka maoni yetu ya nini Na ushaseme Na maoni ya Mungu, ngoja sie tut aangalie tu, usituchoshe!
Mungu ametupa akili ili tuchague ama peponi ama motoni !!
 
Wewe binafsi humpendi Rais Samia Suluhu Hasani
 
Hii sentensi inaingia kwenye Guiness Book of records. Kauli kutoka kwa Mkuu wa nchi.
Mtu wa kwanza kutoa kauli hii ni Rashid Mfaume Kawawa. Aliitoa pale Mnazimmoja alipokuwa anawaaga wazee wa Dar es Salaam wakati anastaafu siasa. Walimuuliza "sasa wewe unaondoka, je tutakula wapi?" Kawawa alijibu kuwa "kila mtu atakula kwenye kiti chake"

Tafsiri ya maneno ya Kawawa iko kwa kila mtu namna anavyofikiri
 


Sio kila mtu anavyofikiri bali hiyo nayo ni kauli ya kifisadi kwani inaonyesha ufisadi wa CCM haukuanza kwa Samia.

"Kila mtu atakula kwenye kitu chake"--- kitu gani??, si bora angesema kila mtu atakula kwenye mshahara wake, hapo angeeleweka.😨
 
1. All said, nchi hii ni nchi ya kishenzi.
2. AFADHALI YA MKOLONI
3. Mungu hajamaliza kazi ni kupandisha mawinguni kaburini li Ndugai kama alivyolipandisha Jiwe
4. CCM ni maujai, makatili na mashetani hawafai kwa lolote
 
Nikimaanisha kiti, siyo kitu. Sorry for the typo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…