Kujiweka low profile kulivonikosesha mchumba!

The point is, most of us struggle throughout our lives by giving too many fncks in situations where fncks do not deserve to be given.
Fncks given everywhere. Strewn about like seeds in mother-fncking spring time. And for what purpose? For what reason? Convenience? Easy comforts?

This is the problem, my friend.
 
una miaka mingapi??maana siku ukikua utaelewa kwamba kinachokutanisha watu ni utu wenu sio viambatanisho vyenu.
ukipendwa au kukaribiwa sababu ya nguo,gari,kazi,simu,cheo kaa kimkakati hujafatwa wewe hapo.

hasa mwanamke ndio kabisaa usifanye hilo kosa la kumshawishi kwa vitu,fanya uwezavyo akupokee kirundu kama kirundu ulivyo,ucheshi wako,ukauzu wako,uchangamfu wako,ukarimu wako nk maana hivyo vitu huyo ndio wewe.hutabadilika.
"Utu" unaozungmzia mkuu unaousema ndio huu ambao umemtoa muheshimishiwa fulani kutoka cdm kwenda "ciciemu" au?? Au "utu" Huu ndo unaowatoa watangazaji toka kituo cha habari kimoja kwenda kingine? Mkuu naomba nieleweshe

kuwa MARIDADI ni jambo MUHIMU, haijalishi unapendwa Kweli au KINAFIKI. wewe JIPENDE mwenyewe tu kwa maana hakuna atakayekupenda kuliko unavyojipenda wewe MWENYEWE.
 
Low profile au low key haipo hivyo Kama unavyoandika hapa.

Ulichokuwa unafanya wewe sio low profile au low key Ila ni commoner yaani unavaa na kuishi Kama MTU wa kawaida.

Ila low profile -ni Kama unavyomuona Mgwana samatta

Kuwa low profile na kuwa commoner ni tofauti kabisa

Lugha nyingine ya low profile ni humbleness .

So akichoandika Robert Heriel Mtibeli haukumuelewa

Nilimuelewa sana Ila "ni hivi mkuu watanzania au Ata elsewhere ukionekana unahadhi fulani mambo yako ynakubaliwa na yanafanyiwa kazi chapu! Yan uhangaiki mzee tofauti na kujiweka" kingumbalu"
Low profile au low key haipo hivyo Kama unavyoandika hapa.

Ulichokuwa unafanya wewe sio low profile au low key Ila ni commoner yaani unavaa na kuishi Kama MTU wa kawaida.

Ila low profile -ni Kama unavyomuona Mgwana samatta

Kuwa low profile na kuwa commoner ni tofauti kabisa

Lugha nyingine ya low profile ni humbleness .

So akichoandika Robert Heriel Mtibeli haukumuelewa
 
Kumbe philomena ni jina la kiume ..nme mkumbuka philoo... dada mkuu wa primary

Sarcasm
 
"Utu" unaozungmzia mkuu unaousema ndio huu ambao umemtoa muheshimishiwa fulani kutoka cdm kwenda "ciciemu" au?? Au "utu" Huu ndo unaowatoa watangazaji toka kituo cha habari kimoja kwenda kingine? Mkuu naomba nieleweshe
hapana hapo hamna utu,kwenye fulsa au utafutaji ni maslahi kwanza.ndio maana hatuwezi laumu mtu kuhama wasafu kwenda Afm kisa hela.
ila atakayeacha mume kisa jamaa mwenye hela,tutamsimanga maana ameshindwa kutambua mahusiano sio maswala ya maslahi,mahusiano ni mtu kwanza,kisha vingine.
 
Zote! Ina uhusiano gani na uandishi wako mbovu? Kwanza wee mwenyewe mchumba,huyo uliyemkosa labda alikua mke mwenza!

Okay IQ yako iko Sawa na ulichojibu una akili ya "gpA ya 1.9"
 
Wewe una ya 5 ,what's difference wakati hata irabu ya kiswahili inakupiga chenga. Endelea kuwaza chupi tu naninaa
Hakuna tusi jipya mkuu matusi kama maji tu '"nanina" Kitu gani ongea straight muoga muoga wewe
Wewe una ya 5 ,what's difference wakati hata irabu ya kiswahili inakupiga chenga. Endelea kuwaza chupi tu nanina
 
Philomena kwetu ni jina la kike
Changamoto ya multiple IDs hupelekea mtu kuchanganya madesa, sehemu ya kuflow kiume anajikuta ametumia ID ya demu na sehemu kuongea kidemu unakuta katumia ID ya kiume
 
Back
Top Bottom