marko maluli
Senior Member
- Mar 14, 2015
- 164
- 49
si wote wenye tumbo kubwa wana mimba.Utajua ukiona tumbo limekuwa kubwa.
Thanks tupo pmjKwa Dunia Ya Sasa Hatuulizi maswali ya Miaka Ya 90.. ukiona Amekosa Hedhi na Mlifanya Siku za Hatari Mpeleke Hosp akapimwe UPT.(urinary pregnancy Test)....