Kujua kupiga Saxophone kulivyonifanya nichakate wanawake wa kila aina,

Kujua kupiga Saxophone kulivyonifanya nichakate wanawake wa kila aina,

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Achana na magitaa kila mtu anapiga,qchana na vinanda.
Unataka kuchakata wanawake wakila aina jifunze saxophone

Mimi nakilaani hiki kifaa maana kimenifirisi kupitia wanawake.

Kuna rafiki yake na mzee wangu alikuwa kwenye brass band ya JWTZ miaka ya nyuma akaacha saxophone yake nyumbani akaenda kupigana vita ya Uganda mwaka 1978,hakurudi mpaka leo,kile kifaa tunazaliwa tunakikuta nyumbani,

Utundu utundu nikaanza kukipuliza,nilipofika darasa la tano nikapata mpiga matarumbeta wa kwenye harusi akanifundisha zaidi sasa mimi ni master.
Hivi viko kama vitano kuna saprano ,altor,tenor,baritone na bass.

Mimi namudu hivyo vitatu vya juu.
Nikipata mgeni wa kike nyumbani huwa nachukua tenor yangu naanza kupuliza ghafla utasikia binti anasema anausingizi anataka kulala namuelekeza chumbani na mchezo umeisha.kile kidude kinaleta usingizi na hisia za ajabu

Kanisani kwaya
wakatunga wimbo fulani ila sehemu ya saxophone wakawa wanapiga kinanda nikawaambia naomba nipige saxophone hapo wakakubali,nikajiunga kwaya nikaanza mazoezi,nilipokuwa nikipuliza saxophone naona wanakwaya nabinti vinyweleo vya ngozi vinasimama miiili inasisimka wanapata na hisia wengine wakawa wanatoa machozi wakati napuliza sax yangu
nilifyeka mabinti kwaya nzima.

Nikiwa USA kwa Kamala Harris miaka hiyo nilikuwa sina kazi ya maana kuna band ya wajamaica nikawa napiga day worker kwenye bar na kumbi ndogo ndogo nikipuliza saxophone,nilichakata wazungu mpaka nikapata na mke wa kizungu.

Hiki kifaa ni hatari sana sana kama umegombana na mpenzi wako kaa mita tano anza kukipiliza utaniambia,ila sio hizo baritone au bass,jifunze altor ,tenor au saprano.

Na usichanganye na trumpet (tarumbeta)trumpet ni makelele tu

Anayeweza kunisaidia k uupload hapa picha yake nitashukuru mimi mtandao unazingua
 
Kazi ya ku-upload nimefanya, ila sitachangia uchakataji wako wa papuchi.
 

Attachments

  • Screenshot_20230331_093047_Chrome.jpg
    Screenshot_20230331_093047_Chrome.jpg
    52.3 KB · Views: 25
Hii hutumika mara nyingi na ma askari kwenye band zao....
Mm hupenda blass band

Napendaga pale ukiwa unatunukiwa degree au kamision...

Blass band,
Kuna watu jeshini ndio kazi yao hawana kazi nyingine
Nikwambie kitu,waafrica tuna vipaji.
Brass band za bongo wanapiga mziki bila hata kusoma nota,
Nenda kwa wazungu waambie wafunike nota zao wapige brass band watakushangaa
 
Kaka si uanzishe bendi yako sasa unasubili nini, mana una kipaji kizur sana mana hakuna aliyekufunza kupiga icho chombo ongera sana mzee baba

Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
Kuanzisha band ni kazi kubwa sana ,kumanage wasanii ni kazi,ulevi,starehe,nk,
Nitaanzisha band ya gospel ya watu wasiozidi watano,tupige modern gospel
 
Kuna kitu sijapenda, ulipiga sax kanisani ili kumtukuza Mungu, matokeo yake ukawachakata mbususu wanakondoo wenzio.
 
Kwaya zina mambo sana we sikia tu
Nafahamu fika kuna jamaa yangu alikuwa mwalimu wa kwaya dah.... tuishie hapa since that time nikaapa mke wangu hatakuwa mwanakwaya never.
 
Back
Top Bottom