Kujua Kusudi Lako Sema NDIYO, Kuishi Kusudi Lako Sema HAPANA.

Kujua Kusudi Lako Sema NDIYO, Kuishi Kusudi Lako Sema HAPANA.

Askofu na Mbunge wa Kawe Bishop, Dr Josephat Gwajima aliwahi kusema, namnukuu, "Kama hujui ulipotoka unaweza kuhisi kwa ulipo sasa umefanikiwa kumbe hapana ila unarudia makosa yako yale-yale huku ukidhani ni maendeleo"

HII INA-MAANA...

Toka nimekufahamu Kocha Makirita Amani (Miaka takribani sita sasa) na ulipo leo hii, Kiuandishi, Elimu, Maisha nk, bila shaka kuna hatua kubwa sana ambazo umepiga mpaka siku ya leo, na binafsi ninaamini kabisa kuwa kama utashidwa kuyatimiza maono yako basi utakuwa ni uzembe wako mwenyewe, maana kwa ulipo toka, ulipo sasa na unapoelekea ni ushahidi tosha kuwa kuna nguvu kubwa inakusukuma kwenda kutimiza maono yako.

LABDA....

Jua hili kabisa, kwamba tupo nyuma yako weeeengi sana tunaotiwa moyo na kuhamasishwa sana na-mafundisho yako kila wakati. Usitishwe kabisa na akina Yuda ambao wanasimama na kukupinga au kukuvunja moyo jua ni wivu tu, wewe songa mbele.

ILA....

Hakikisha siku umekaa kwenye kiti cha u-rais 2040 hakikisha Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi iwe yangu (Mean uniteue)

Hapibezidei kwako Kocha,

Natanguliza shukrani,

Deus M.Ndololo
 
HONGERA KAKA KWA KAZI NZURI UNAYOFANYA.UMEKUWA SIO MCHOYO KWA KUTUMEGEA SIRI ZA KUFANIKIWA KATIKA MAISHA.NAKUMBUKA KITABU CHAKO KIITWACHO "KURASA ZA MAISHA"ULICHONITUMIA KWA EMAIL MWAKA 2016.NINACHO MPAKA SASA YAANI NI KITABU CHA AJABU MAANA KIKA NIKIWA FREE AU NASAFIRI LAZIMA NIKIPITIE.ASANTE SANA KWA KILE KITABU KAKA MUNGU AENDELEE KUKUTUMIA KUTUELIMISHA KILA SIKU NA ATIMIZE NDOTO ZAKO KAMA ULIVYOBAINISHA HAPO JUU.MAANA NDOTO ZAKO ZIKITIMIA TUZIDI KUPATA VILIVYO BORA ZAIDI TOKA KWAKO.UBARIKIWE SANA.
 
Asante sana mkuu.
Karibu tuendelee kuwa pamoja.
 
Kisichokuua kinakuimarisha,
Katika safari ya maisha unakutana na magumu ambayo yanakuwa kikwazo kikubwa kwako,
Hapo ndipo wengi hukata tamaa na kuona hawawezi tena kuyafikia mafanikio wanayotaka.
Lakini wewe usikubali kukata tamaa, badala yake jifunze kupitia magumu hayo, kuwa imara zaidi na endelea na safari.
Jiwekee azimio hili; NITAPATA NINACHOTAKA AU NITAKUFA NIKIWA NAKIPAMBANIA.
Na usikubali kingine nje ya hapo.
 
Back
Top Bottom