Yobo mkubwa
New Member
- Mar 14, 2020
- 3
- 3
Naomba msaada wa kujua TILL NUMBER kwa lain za tigo na voda bila kufika dukani kwao.
Asant sana.
Asant sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Raini ya mpesa au tigo pesa kkHiyo till ndio nini mkuu?
Asante sana kk nimekuelewa shukran sana kwa elimu yakoKama laini ina float, jiwekee hata elfu moja kwenye laini yako ya kawaida, Till utaiona kwenye sms ya mpokeaji pesa
Tupo pamoja mkuuAsante sana kk nimekuelewa shukran sana kwa elimu yako