ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,753
- 9,575
Halafu itokee umejipigilia pamba kali ndo tabu kabisa hahhaaaaaaKujulikana kuna tabu ,ukiwa gentle kama mshedo watashangaa,ukitembea peke yako watasema we ndio mbaya
By Franco luambo
Ndio Dear, ni Bora usijulikane Tu utafurahia Maisha ila pia kuna watu mjini wanaishi Kwa kujulikana Yani akipoteza KAZI hapa anaitwa kulehalafu itokee umejipigilia pamba kali ndo tabu kabisa hahhaaaaaa
Hao sasa ndo wanakula matunda ya kujulikana kwao ila sasa kuna hatari zaidiNdio Dear, ni Bora usijulikane Tu utafurahia Maisha ila pia kuna watu mjini wanaishi Kwa kujulikana Yani akipoteza KAZI hapa anaitwa kule
Hapo ndo kuna maudhi kabisa hahhaaaaSi raha hata kidogo yaani unaweza kuwa unaenda kununua nyanya harafu watu wanataka kupiga picha na wewe
Habarini wadau wa humu
Toeni ya moyoni kuhusu kujulikana Je kwako mwenzangu KUJULIKANA kuna raha au karaha?
TIRIRIKENI WADAU hapa
Mimi kujulikana naona raha sijui wadau mabestito
Wasalamu
Ladyf
Ndo maana nasema KUJULIKANA kuna raha au karaha yake kutokana na vile unavyojulikanaInategemea unajulikana kwa mambo gani na watu gani wanaokujua. Kama kujuiikana kwa mazuri na watu uliosoma nao, unaofanya nao kazi kwa namna moja au nyingine au biashara basi kujulikana ni BOMBA SANA ila kama unajulikana kwa mabaya hiyo ni NOMAAAA.
Umaarufu shida ahahhaaaaaaaaahahhaaaaaaaaaSiku ukitoka guest asubuhi kila mtu anakuangalia.. kila mtu atajua
Ukisimama na mwanafunzi watu wanakukodolea macho wanaanza tafsiri zao
Kumbe mwenyewe unamjulia hali unaamuliza za shule
Umaarufu jau ....
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Habarini wadau wa humu
Toeni ya moyoni kuhusu kujulikana Je kwako mwenzangu KUJULIKANA kuna raha au karaha?
TIRIRIKENI WADAU hapa
Mimi kujulikana naona raha sijui wadau mabestito
Wasalamu
Ladyf
ndo maana nasema KUJULIKANA kuna raha au karaha yake kutokana na vile unavyojulikana
Muda si mfupi tumtarajie MSHINDI WA KUWA BALOZI WA JF hapa akijulikana hapa itakuwa karaha au raha kwakeKuna wakati inaudhi lakini una haraka zako kitaa kila dakika mbili unasimamishwa ili mtu akusalimie. Umeingia mahali kwa lunch/dinner basi katika watu 10 wanaoingia pale 7 wanataka wakusalimie ile ya kushikana mikono. Huwa inaboa.
Umenifurahisha sana yaani daaa ila angalia wasijetoa kamasiRahaa sana unapata vitu vingi sana mfano totozππππ
Kamasi means pesa auπππππUmenifurahisha sana yaani daaa ila angalia wasijetoa kamasi
vyote vyote mkuu utajua kuwa umeumia au umepona π€£Kamasi means pesa auπππππ
Sema mimi mwenyewe ndakuwa nimefaidi tundaπππππππakuna cha burevyote vyote mkuu utajua kuwa umeumia au umepona π€£