Kujulikana ni raha au karaha?

kimatembo hahahaaaaaaaaaaaaa yaani wewe ni mtu wa kuongea sana na mfurahishaji kumbe uko pande zipi hapa duniani?
Nipo hapa las vages USAπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚nakupata mubashara vip wew pand zipi
 
hahhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa uwii sasa naona unaniweka kikaangioni haya hongera zako mm niko jiji la mama hapa tz
 
Upo dar es salaam tanzania mitaa hiyo nimeishi sana mbezi makabe unakufaamu ukoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
nakufaahamu sana tena sana mpaka kule temeke njia nyembamba ya kijito kwa MPALANGE sasa utanifananisha na BAK au Chachu Ombara wa OMAN hapo kwa mshumbusi hahhaaaaa🀣
 
mkuu mbona unazurura sana sehemu zote hizo mimi nakukaa kote dsm sehemu nyingi ni chengaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
hahahahahahahahahah kwa Mpalange pia umepita?
nimepita mkuu eneo lile hatari sana ogopa kupita usiku utaduwaa unachokiona mbele ya macho yako hahaaaaa
 
Reactions: BAK
mkuu mbona unazurura sana sehemu zote hizo mimi nakukaa kote dsm sehemu nyingi ni chengaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa maisha ndo yananipeleka huko unajua ukitaka kutafuta utafika hata eneo lisilofikika mkuu
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mhuni wewe!!!!

nimepita mkuu eneo lile hatari sana ogopa kupita usiku utaduwaa unachokiona mbele ya macho yako hahaaaaa
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mhuni wewe!!!!
ahaaaaaa jamani acha kusema hivyo mm kule napita wakati basi limekwamba kupita uhasibu ndo wanachepukia njia za ajabu ajabu kama hizo hahaaaaaaaa
 
Reactions: BAK
Habarini wadau wa humu.

Toeni ya moyoni kuhusu kujulikana Je kwako mwenzangu KUJULIKANA kuna raha au karaha?
TIRIRIKENI WADAU hapa.

Mimi kujulikana naona raha sijui wadau mabestito.

Wasalamu
Ladyf
Shida sana hasa kwenye kuombwa hela wallah
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣

ahaaaaaa jamani acha kusema hivyo mm kule napita wakati basi limekwamba kupita uhasibu ndo wanachepukia njia za ajabu ajabu kama hizo hahaaaaaaaa
 
hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa maisha ndo yananipeleka huko unajua ukitaka kutafuta utafika hata eneo lisilofikika mkuu
Ndo adi kwa mparange?mkuuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£wewe noma sana
 
Habarini wadau wa humu.

Toeni ya moyoni kuhusu kujulikana Je kwako mwenzangu KUJULIKANA kuna raha au karaha?
TIRIRIKENI WADAU hapa.

Mimi kujulikana naona raha sijui wadau mabestito.

Wasalamu
Ladyf
Kujulikana kubaya ni kule ambako watu wengi wanakujua alafu wewe huwajui na hujawahi kukutana nao kabisa.

Mfano kujiposti mitandaoni wanaokuona na kukujua wapo wengi kuliko ambao hawakujui,hivyo kujulikana huku ni upuuzi kwa sababu unaweza kutaka kufanya mishe zako kwa kificho kumbe kuna watu wanakujua ila wewe huwajui wanakuona.

Ila ukiwa kazini bila shaka watakaokujua na wewe utawajuaa kwa sababu utakuwa unaonana nao na kuna miamala mtakuwa mnafanya ya kimaisha,huku hakuna shida kabisa.

Mimi sipendi kabisa mtu ambaye simjui sijawahi kumuona wala kukutana nae na wala shusiani nae chochote katika nyanja ya kimaisha basi sitaki aanijue mtu huyo.

Huko ndio kujulikana kwa karaha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…