Kukaa muda mrefu ni moja ya sababu kubwa ya maumivu sugu ya mgongo

Kukaa muda mrefu ni moja ya sababu kubwa ya maumivu sugu ya mgongo

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
Kukaa muda mrefu ukifanya kazi za ofisi bila kuinuka na kunyoosha viungo kwa kutembea na kijinyoosha ni moja ya sababu kubwa ya maumivu sugu ya mgongo hasa kiunoni. Wataalamu wanapendekeza mtu asikae zaidi ya masaa mawili bila kujinyoosha.

Ikiwa una tatizo la mgongo kuuma kwa muda mrefu hasa maeneo ya kiuno unaweza kuweka barafu kiunoni kisha kukanda na maji ya moto, kufanya mazoezi ya viungo, kufanya yoga na kuvuta pumzi kwa nguvu. Kufanya hivyo kunaweza kukusaidia kuondoa maumivu haraka.

Dbut3GhXcAETajw.jpg

Chanzo: Tiba Fasta
 
Hiyo ni sababu mojawapo ya kuwa na maumivu sugu ya mgongo, Lakini pia hata kutofika kileleni ni sabau nyingine, Pia magonjwa Pid, Pos, na Vidonda vya tumbo hayo nayo husababisha matatizo sugu ya maumivu ya mgongo kama yasipotibika mapema.
Kwa matatizo sugu ya maumivu ya mgongo, Tumia dawa hizi kwa Kihaya huitwa:-
1.MBATAMA
2.MUUNDA(MTIUPURU)
3.WANKURA/RUKURA
4.NYAWAIJA/AKASHONDAGIZI. Tumia majani yake yachemshe kunywa kikombe 1 kutwa mara 3 (kwa siku 14), au Majani/magome yake yakaushe saga yawe unga tia ktk maji ya moto au ktk uji (tumia vijiko 2 ktk glasi 1 ya maji vuguvugu kutwa mara 3 kwa siku 14).
 
Kukaa muda mrefu ukifanya kazi za ofisi bila kuinuka na kunyoosha viungo kwa kutembea na kijinyoosha ni moja ya sababu kubwa ya maumivu sugu ya mgongo hasa kiunoni. Wataalamu wanapendekeza mtu asikae zaidi ya masaa mawili bila kujinyoosha.

Ikiwa una tatizo la mgongo kuuma kwa muda mrefu hasa maeneo ya kiuno unaweza kuweka barafu kiunoni kisha kukanda na maji ya moto, kufanya mazoezi ya viungo, kufanya yoga na kuvuta pumzi kwa nguvu. Kufanya hivyo kunaweza kukusaidia kuondoa maumivu haraka.

View attachment 757771

Chanzo: Tiba Fasta
TUMIA: Tumia juisi ya Tangawizi kwa matatizo sugu ya mgongo, Saga tangawizi, tia ktk maji safi na salama changanya na ukoroge vizuri, Kunywa glasi moja kwa siku kwa muda wa siku 7. AU: tafuna vipande kadhaa vya tangawizi kila asubuhi kabla haujala chochote.
 
Back
Top Bottom