Mwl Never Better
Member
- Apr 4, 2025
- 6
- 10
Kuna brother ana mpenzi lakini hajawahi kulala NAE ni mwaka wa nne sasa wako kwenye mahusiano.
Je wewe una mshauri Nini? Au je! Ni vizuri kulala/kujamiana Kabla hajamuoa mschana huyo?
Toa mawazo kulingana na mtazamo wako
Je wewe una mshauri Nini? Au je! Ni vizuri kulala/kujamiana Kabla hajamuoa mschana huyo?
Toa mawazo kulingana na mtazamo wako