Top gun maverick
JF-Expert Member
- Dec 10, 2017
- 2,080
- 2,871
Ni jambo jema..huhitaji kutoka nje kama huna ishu ya maanaHabari wakuu Mimi ni kijana wa late 20s ila tangu mdogo nilizoeshwa kukaa ndani tu yaan kwa kifupi wazazi hawakutaka tabia ya kuzuzura sasa mpaka now ni form sixleaver nakaa tu ndani siku nzima mpaka watu wananitania nakaa ndani utafikiri mwali..ushauri wakuu nifanyeje kuondoka hii tabia ya kushinda ndani tu
Habari wakuu Mimi ni kijana wa late 20s ila tangu mdogo nilizoeshwa kukaa ndani tu yaan kwa kifupi wazazi hawakutaka tabia ya kuzuzura sasa mpaka now ni form sixleaver nakaa tu ndani siku nzima mpaka watu wananitania nakaa ndani utafikiri mwali..ushauri wakuu nifanyeje kuondoka hii tabia ya kushinda ndani tu
Nilizoea hivyo toka utotoni hadi sasa. Kama sina inshu au siendi kazini huwa niko ndani tu.Habari wakuu Mimi ni kijana wa late 20s ila tangu mdogo nilizoeshwa kukaa ndani tu yaan kwa kifupi wazazi hawakutaka tabia ya kuzuzura sasa mpaka now ni form sixleaver nakaa tu ndani siku nzima mpaka watu wananitania nakaa ndani utafikiri mwali..ushauri wakuu nifanyeje kuondoka hii tabia ya kushinda ndani tu
Binafsi suala si kutoka nje, kuzurura, bali utoke kwa sababu, likewise, ukae ndabi kwa sababu pia. Hebu anza walau kutoka nje kati ya saa 2 na 4 asb upate jua la vitamini D[emoji4]Habari wakuu Mimi ni kijana wa late 20s ila tangu mdogo nilizoeshwa kukaa ndani tu yaan kwa kifupi wazazi hawakutaka tabia ya kuzuzura sasa mpaka now ni form sixleaver nakaa tu ndani siku nzima mpaka watu wananitania nakaa ndani utafikiri mwali..ushauri wakuu nifanyeje kuondoka hii tabia ya kushinda ndani tu
Kwani geti linafungwa na funguo mkuu!!? Si ufungue tu utoke,ushauri wa nn sasa[emoji4] [emoji1]Habari wakuu Mimi ni kijana wa late 20s ila tangu mdogo nilizoeshwa kukaa ndani tu yaan kwa kifupi wazazi hawakutaka tabia ya kuzuzura sasa mpaka now ni form sixleaver nakaa tu ndani siku nzima mpaka watu wananitania nakaa ndani utafikiri mwali..ushauri wakuu nifanyeje kuondoka hii tabia ya kushinda ndani tu