Kukaa ndani siku nzima bila kutoka nje

Kukaa ndani siku nzima bila kutoka nje

Top gun maverick

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2017
Posts
2,080
Reaction score
2,871
Habari wakuu Mimi ni kijana wa late 20s ila tangu mdogo nilizoeshwa kukaa ndani tu yaan kwa kifupi wazazi hawakutaka tabia ya kuzuzura sasa mpaka now ni form sixleaver nakaa tu ndani siku nzima mpaka watu wananitania nakaa ndani utafikiri mwali..ushauri wakuu nifanyeje kuondoka hii tabia ya kushinda ndani tu
 
Ni jambo jema..huhitaji kutoka nje kama huna ishu ya maana
 
Mtaani kwenu kama wanakujua na washakuzoea badili tabia watakushangaa kwa mda huo lakini watasahau kama before ulikua wa kujichimbia ndani...ila kukaa ndani kuna faida zake ....unaepuka mambo mengi ...vilevile hasara zake ni kukosa umoja na wanaokuzunguka
 
Its all a mind set. Anza kuu train ubongo wako kutokukaa ndani. una introvent personality, just like me. But jifunze kujichanganya na watu , toka na marafiki .. hiyo hali itaanza kuyeyuka kidogo kidogo
Habari wakuu Mimi ni kijana wa late 20s ila tangu mdogo nilizoeshwa kukaa ndani tu yaan kwa kifupi wazazi hawakutaka tabia ya kuzuzura sasa mpaka now ni form sixleaver nakaa tu ndani siku nzima mpaka watu wananitania nakaa ndani utafikiri mwali..ushauri wakuu nifanyeje kuondoka hii tabia ya kushinda ndani tu
 
Habari wakuu Mimi ni kijana wa late 20s ila tangu mdogo nilizoeshwa kukaa ndani tu yaan kwa kifupi wazazi hawakutaka tabia ya kuzuzura sasa mpaka now ni form sixleaver nakaa tu ndani siku nzima mpaka watu wananitania nakaa ndani utafikiri mwali..ushauri wakuu nifanyeje kuondoka hii tabia ya kushinda ndani tu
Nilizoea hivyo toka utotoni hadi sasa. Kama sina inshu au siendi kazini huwa niko ndani tu.

Upole wangu na kutopenda makundi hasa ya vijiweni na malezi vilichangia hasa kwa upande wangu.

Siyo ugonjwa dogo.
 
Kikubwa kama ni mwanaume hakikisha una demu wa kukutuliza akili huku ukifanya mambo yako. Kama huna demu jichanganye upate maujanja.. wako watakaobeza ushahuri huu ila hakikisha una mademu zako wawili watatu kwa ajili ya kukupa experience ya maisha
 
fanya kila kitu kwa malengo.
kama huna ishu ya maana unazurura ili iweje?? hao wanaokusema wengi wanapenda wawe wanakuona ili wajue hata mipango yako ikoje. ukiwa huonekani sana mitaani hata kukusoma inaweza ikawa inawapa ugumu
 
Habari wakuu Mimi ni kijana wa late 20s ila tangu mdogo nilizoeshwa kukaa ndani tu yaan kwa kifupi wazazi hawakutaka tabia ya kuzuzura sasa mpaka now ni form sixleaver nakaa tu ndani siku nzima mpaka watu wananitania nakaa ndani utafikiri mwali..ushauri wakuu nifanyeje kuondoka hii tabia ya kushinda ndani tu
Binafsi suala si kutoka nje, kuzurura, bali utoke kwa sababu, likewise, ukae ndabi kwa sababu pia. Hebu anza walau kutoka nje kati ya saa 2 na 4 asb upate jua la vitamini D[emoji4]
 
Habari wakuu Mimi ni kijana wa late 20s ila tangu mdogo nilizoeshwa kukaa ndani tu yaan kwa kifupi wazazi hawakutaka tabia ya kuzuzura sasa mpaka now ni form sixleaver nakaa tu ndani siku nzima mpaka watu wananitania nakaa ndani utafikiri mwali..ushauri wakuu nifanyeje kuondoka hii tabia ya kushinda ndani tu
Kwani geti linafungwa na funguo mkuu!!? Si ufungue tu utoke,ushauri wa nn sasa[emoji4] [emoji1]
 
Back
Top Bottom