Kukaa ndani siku nzima bila kutoka nje

Its all a mind set. Anza kuu train ubongo wako kutokukaa ndani. una introvent personality, just like me. But jifunze kujichanganya na watu , toka na marafiki .. hiyo hali itaanza kuyeyuka kidogo kidogo
umesema wewe ni intorvent? kwaiyo na wewe mkuu unakaa ndani sana na aupendi ku socialize au
 
Kikubwa kama ni mwanaume hakikisha una demu wa kukutuliza akili huku ukifanya mambo yako. Kama huna demu jichanganye upate maujanja.. wako watakaobeza ushahuri huu ila hakikisha una mademu zako wawili watatu kwa ajili ya kukupa experience ya maisha
Atapata wapi demu wakati anasema anashinda ndani!!!
 
Kawaida Sana mbona.Mi huwa natamani hata sokoni Au dukani nisiende.,huwa naenda Kama Hakuna kabisa mtu wa kwenda. Nakaribia kumaliza likizo yangu ni mtu wa ndani tu. Kutoka labda ni jumapili kwenda kanisani
 
Its all a mind set. Anza kuu train ubongo wako kutokukaa ndani. una introvent personality, just like me. But jifunze kujichanganya na watu , toka na marafiki .. hiyo hali itaanza kuyeyuka kidogo kidogo
Naunga mkono, nami ni miongoni mwa introverts, ilinichukua muda sana japo nlilelewa mazingira yenye uhuru sana, naamini atakapokuwa chuoni atabadikika sana
 
Sio mbaya kijana...kutulia kwako ndani nyumbani unaepukana na matatizo mengi na vishawishi vingi kutoka kwa walimwengu haswa hii ngozi nyeusi mie ushauri wangu kama hamna umuhimu wa kutoka nje bora ukae home ujisomee ukiona uvivu fanya mazoezi kuliko kujichanganya na waswahili wwngine sio watu wazuri
 
Its all a mind set. Anza kuu train ubongo wako kutokukaa ndani. una introvent personality, just like me. But jifunze kujichanganya na watu , toka na marafiki .. hiyo hali itaanza kuyeyuka kidogo kidogo
Ila mtahadharishe asije akawa kama kuku aliyekata kamba.
 
Hiyo hali hata mimi mwenyewe ninayo uzuri najichanganya na watu nikiwa kwenye utafutaji wa riziki na kingine nikiwa zangu nyumbani sipendi kelele kabisaaa.

Kipindi nilichokuwa na umri kama wako sehemu ya muda wangu ilikuwa inalika kwenye kuandika mashairi, napenda sana hip hop lakini sasa hivi nimepunguza hayo mahaba.
 
Nilizoea hivyo toka utotoni hadi sasa. Kama sina inshu au siendi kazini huwa niko ndani tu.

Upole wangu na kutopenda makundi hasa ya vijiweni na malezi vilichangia hasa kwa upande wangu.

Siyo ugonjwa dogo.
Mh! K yako ya kwanza uliutafuna ukiwa na umri gani?
 
ukiwa unakaa ndani then unafanya ishu zako za kujipa furaha kama games, movie among other, yani unakuwa better zaidi na hauna haja ya kutoka nje, But Kama unakaa ndani unalala tuu heeeeee
 
[emoji23] [emoji23] nimekuuliza kwa kuwa mkuu haupo mwenyewr mwenye hiyo tabia na pia watu wengi wa hivyo huwa very intelligent kwa kuwa hawa afektiwi na mazingira na pia huchelewa sana kula pussy ..........
[emoji23] mkuu wengine waoga wamaisha Hakuna intelligent wala nini wanafunzi wengi wakimaliza chuo Kazi yao nikushinda ndani wanasubiri ajira
 
[emoji23] mkuu wengine waoga wamaisha Hakuna intelligent wala nini wanafunzi wengi wakimaliza chuo Kazi yao nikushinda ndani wanasubiri ajira
[emoji23] kikawaida si kila mtu ni fighter mkuu kuwa fighter kabla ya kupata ajira haimaanishi mafanikio na pia kukaa ndani kabla ya ajira haimanishi hautopata mafanikio wengi hawawezi hiyo kitu ila tuongee ukweli ni kuwa hata wale watoto ambao huwa wanakaa ndani tu huwa very intelligent...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…