Mwl.RCT
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 14,624
- 20,666
hawakutaka tabia ya kuzuzura sasa mpaka now ni form sixleaver nakaa tu ndani siku nzima mpaka watu wananitania nakaa ndani utafikiri mwali
- Toka iwapo una appointment au unahitaji kwenda kujiburudisha uwanjani kama kama kuna mpira au burudani zingine
- Tumia huo muda kufanya vitu vitakavyokusaidia katika maisha baadae.
- Jenga tabia ya kusoma vitabu: https://www.jamiiforums.com/threads...hitaji-nitafute.315875/page-140#post-28463556
- Jifunze taaruma mpya kupitia mtandao hapa kuna site kama youtube, udemy. linda mfano waweza kuwa website designer kwa kujisomea kupitia course za udemy
- Jiunge na shiriki kwenye forums zitakazokujenga kama ulivyofanya kwa JF, pia sio mbaya ukatafuta forums za taaluma tofauti tofauti, Yaani hakikisha kila siku unaongeza kitu ambacho hukukufahamu awali. Mfano hapa kuna: https://www.babypips.com/learn/forex
- Jiamini, uko sahihi, hakuna tatizo kushinda nyumbani iwapo hauna shughuli inayokutaka kutoka.