Kukaa ndani siku nzima bila kutoka nje

Kukaa ndani siku nzima bila kutoka nje

hawakutaka tabia ya kuzuzura sasa mpaka now ni form sixleaver nakaa tu ndani siku nzima mpaka watu wananitania nakaa ndani utafikiri mwali
  • Toka iwapo una appointment au unahitaji kwenda kujiburudisha uwanjani kama kama kuna mpira au burudani zingine

  • Tumia huo muda kufanya vitu vitakavyokusaidia katika maisha baadae.
    - Jenga tabia ya kusoma vitabu: https://www.jamiiforums.com/threads...hitaji-nitafute.315875/page-140#post-28463556

    - Jifunze taaruma mpya kupitia mtandao hapa kuna site kama youtube, udemy. linda mfano waweza kuwa website designer kwa kujisomea kupitia course za udemy

    - Jiunge na shiriki kwenye forums zitakazokujenga kama ulivyofanya kwa JF, pia sio mbaya ukatafuta forums za taaluma tofauti tofauti, Yaani hakikisha kila siku unaongeza kitu ambacho hukukufahamu awali. Mfano hapa kuna: https://www.babypips.com/learn/forex

  • Jiamini, uko sahihi, hakuna tatizo kushinda nyumbani iwapo hauna shughuli inayokutaka kutoka.

 
Nilizoea hivyo toka utotoni hadi sasa. Kama sina inshu au siendi kazini huwa niko ndani tu.

Upole wangu na kutopenda makundi hasa ya vijiweni na malezi vilichangia hasa kwa upande wangu.

Siyo ugonjwa dogo.
hatuna tofauti kabisa Mkuu.
 
hiyo ni dalili ya kua kunaelekea kuwa mpunga au mchele
 
Hiki ulichokiandika hapa umekifikiria kwa kina au umejiropokea tu??? After all nilikuquote wewe au shoboo?...halafu eti una familia!.....wee utakuwa umezoea kulala na dada zako, unahisi kila mtu anafanya hivo! M.av.i. i yako
we mpe mzigo ajipigie.
 
Toka nje utakuwa umetatua
Habari wakuu Mimi ni kijana wa late 20s ila tangu mdogo nilizoeshwa kukaa ndani tu yaan kwa kifupi wazazi hawakutaka tabia ya kuzuzura sasa mpaka now ni form sixleaver nakaa tu ndani siku nzima mpaka watu wananitania nakaa ndani utafikiri mwali..ushauri wakuu nifanyeje kuondoka hii tabia ya kushinda ndani tu
 
Back
Top Bottom