Kukaa ndani siku nzima bila kutoka nje

Kukaa ndani siku nzima bila kutoka nje

Kukaa sehemu moja muda mrefu bila kazi huleta vishawishi vya kujichua/punyeto

Bila shaka wewe utakuwa ni mwathirika wa hili janga!
Hasema anakaa bila kazi alichokisema anapenda kukaa ndani hivyo ndivyo alivyolelewa ikiwa humo ndani anajisomea au anafanya jambo jingine hajaainisha
 
Pendelea kutembea wakati wa jioni au kwenda sehemu za beach au ufukweni mwa ziwa kupunga upepo au mtaani kwenu hakuna vijiwe vya kahawa au bodaboda kwenda kupiga story?
 
[emoji23] [emoji23] nimekuuliza kwa kuwa mkuu haupo mwenyewr mwenye hiyo tabia na pia watu wengi wa hivyo huwa very intelligent kwa kuwa hawa afektiwi na mazingira na pia huchelewa sana kula pussy ..........
Sure mkuu,we are good in solvings hasa hesabu, though not all. nakumbuka nlikula K! baada ya kuhitimu form six, at the age of 23 tena baada ya kuahirisha masomo kwa mwaka huo ndipo nikaamua kujichanganya rasmi, haikuwa rahisi but we never fail....
 
mbona ni fresh tu mkuu ,mm mwenyewe huwa nashinda ndani kama sina mishe yeyote,sipende habari za vijiweni au za maskani mm nikitoka zangu kazin ni ndan ,utaniona natoka kwenda kuoga na chooni sisi tusio na self rooms,na mara nyingi nipo safari yani nikirud hom mtu hawez jua ,ukiwa ni mgeni kwangu na tukawa tumepanga nyumba moja utazan unaishi na jini,wageni watakuja kwangu ila mm hunioni hadi nikiwa nawasindikiza [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
[emoji23]
 
Bora yako wewe form six leaver. Mie na uhenga wote naweza nisitoke nje kuanzia Jumamosi hadi ntakapoenda kazini Jumatatu. Ntasilikiza nyimbo, ntaangalia movie, ntasoma kidogo, ntalalaaa siku imeisha.

Sio mtu wa kujichanganya sana na watu, hata ikitokea nikatoka, ntaenda maeneo tulivu nikiwa peke yangu.
yaani hats Mimi nipo hivyo huwa sioni umuhimu Wa kutembea kama sina kitu cha muhimu cha kufanya,nikishika novel yangu hapo nje wananisahau.
 
Sasa wewe unataka wanaume tukushauri nini wakati unajua cha kufanya ili kuondokana na hiyo hali? Unataka tuonekane wachochezi bure
 
Una miguu?unajua mlango wa kutoka nje?kabla ya kukushaur naomba nijibu hayo maswali
 
Back
Top Bottom