Kukaanga mayai

Kukaanga mayai

Inategemea unapenda kula mayai ya kukaangwa ya vipi ??
1. Scrambled eggs ?
2. Omelette
3. Spanish style
3. Yakauke au rojo rojo ??
4. N.k

Binafsi napenda mayai yasikauke, yawe rojorojo.
Unaweza kuweka nyanya na kitunguu kidogo sana labda 5% tu.
Au plain.

Binafsi mayai ukiyakausha makavu kama chapati siwezi kula.
Nataka bichibichi kama la mtoto Mdogo lenye ku-retain nutrients (ndio maana napenda la kienyeji.).
 
Back
Top Bottom