Umeelewa kilichoandikwa hapo juu?wapi amesema anataka mbinu za kukwepa kodi!!!sometimes kitu hukijui kaa kimya.Lipa kodi halisi kuepuka usumbufu kwenye biashara! Hacha ukanjanja hautakusaidia! Penda nchi yako
Umeelewa kilichoandikwa hapo juu?wapi amesema anataka mbinu za kukwepa kodi!!!sometimes kitu hukijui kaa kimya.
Mleta mada imani yangu biashara yako hujaianza bado cha kufanya nenda TRA ukadiriwe kodi watakayoona inafaa kisha huyo huyo atakaekufanyia makadirio mwambie akupe tax clearance ili uende municipal kukata license ukafanye biashara aliyokukadiria,kumbuka tax clearance ni kumfahamisha mkurugenzi wa manispaa kwamba huna deni lolote na serikali siyo tofauti na hivyo.
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Kama ulishaanza biashara epuka kutaja maozo makubwa kodi ya kibanda isiwe kubwa japo watahitaji mkataba na mwenye kibanda kama sio chako na pia usitaje mtaji mkubwa utatamani uache tu hiyo biashara na ukikutana na boss mkuda hapo ni shida
Sent using Jamii Forums mobile app
Daah mie nilitamani kulia pale nilipo taja mauzo ya kawaida tu iyo kodi yake sasa niligoma ikabidi nirudi kwanza nyumbani nifanye namna...
Sent using Jamii Forums mobile app
TRA huwa wanazama mpaka ndani dukani wanafungua mpaka droo ya kutunzia hela,mm ishanikuta,Sasa fanya ujanja ila ajali kazini siku wakiwa kwenye ukaguzi wakagundua kuna mahala uliwadanganya watakuumiza
Sent using Jamii Forums mobile app
TRA huwa wanazama mpaka ndani dukani wanafungua mpaka droo ya kutunzia hela,mm ishanikuta,Sasa fanya ujanja ila ajali kazini siku wakiwa kwenye ukaguzi wakagundua kuna mahala uliwadanganya watakuumiza
Sent using Jamii Forums mobile app
Yap kwanza nilikua fala ila nilivyojua mchezo waliisoma namba,nabakisha silva tu.