Kukadiriwa kodi ili upate Tax Clearance, Maujanja tafadhali

MURUSI

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2013
Posts
4,537
Reaction score
8,824
Niko kwenye mchakato wa kufanyiwa Tax Clearance ili nipate lesseni jianze biashara. Sasa Je, kwenye kukadiria inakuwaje? Mambo gani ya muhimu kuyazingatia isije kula kwangu?

Msaada please

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lipa kodi halisi kuepuka usumbufu kwenye biashara! Hacha ukanjanja hautakusaidia! Penda nchi yako
 
Kama ulishaanza biashara epuka kutaja maozo makubwa kodi ya kibanda isiwe kubwa japo watahitaji mkataba na mwenye kibanda kama sio chako na pia usitaje mtaji mkubwa utatamani uache tu hiyo biashara na ukikutana na boss mkuda hapo ni shida

Umeelewa kilichoandikwa hapo juu?wapi amesema anataka mbinu za kukwepa kodi!!!sometimes kitu hukijui kaa kimya.

Mleta mada imani yangu biashara yako hujaianza bado cha kufanya nenda TRA ukadiriwe kodi watakayoona inafaa kisha huyo huyo atakaekufanyia makadirio mwambie akupe tax clearance ili uende municipal kukata license ukafanye biashara aliyokukadiria,kumbuka tax clearance ni kumfahamisha mkurugenzi wa manispaa kwamba huna deni lolote na serikali siyo tofauti na hivyo.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Asantee sana

Yes hapo ndo nilikuwa nataka, make kwenye kutaja hapo, naweza jifanya sifa kutaja mauzo makubwa ni kakadiriwa kodi hadi nikakimbia.

Sawa hapo nimekupata sana
Kama ulishaanza biashara epuka kutaja maozo makubwa kodi ya kibanda isiwe kubwa japo watahitaji mkataba na mwenye kibanda kama sio chako na pia usitaje mtaji mkubwa utatamani uache tu hiyo biashara na ukikutana na boss mkuda hapo ni shida

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TRA huwa wanazama mpaka ndani dukani wanafungua mpaka droo ya kutunzia hela,mm ishanikuta,Sasa fanya ujanja ila ajali kazini siku wakiwa kwenye ukaguzi wakagundua kuna mahala uliwadanganya watakuumiza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom