Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nijuavyo mie kukaliwa ni ile hali ya mwanaume kuwa controlled na mkewe kwnye kila jambo to the extent anakosa maamuz yake binafsi na nafasi yake kama kichwa cha familia inakua imechukuliwa na mkewe. Mwanaume anakua kama bendera inayofata upepo(mkewe) yani anakosa sauti kama baba anapelekwapelekwa tu kama gari bovu. Mkewe akifanya kosa hathubutu kumuuliza maana atajibiwa kwa ukali. Kukaliwa kwa mwanaume ni kuwa na nidhamu ya woga kwa mwanamke in short mwanaume anakua kama ameolewa hiyo ndiyo kukaliwa.
NB: mwanaume kujali familia yake co kukaliwa!