Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Amani Abeid Karume (kushoto) akisalimiana na Makamu wa Mwenyekiti wa chama hicho Tanzania Bara, Pius Msekwa wakati wa uzinduzi wa maadhimisho ya miaka 34 tangu kuzaliwa kwa CCM zilizofanyika katika viwanja vya Biafra, Dar es Salaam. Anayeshuhudia ni Katibu Mkuuu wa chama hicho, Yusuf Makamba. (Picha na Fadhili Akida).
Siku CCM inapigwa mweleka na wapigakura.............................basi kila mmoja atachanja mbuga.........................na hakuna kuagana kama Kanu ya Kenya..................................
siku ccm inapigwa mweleka na wapigakura.............................basi kila mmoja atachanja mbuga.........................na hakuna kuagana kama kanu ya kenya..................................