Kukamata dola tu ndiko kunakowaunganisha wana-CCM.......................

Kukamata dola tu ndiko kunakowaunganisha wana-CCM.......................

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Posts
219,468
Reaction score
911,184
02_11_c92hpv.jpg
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Amani Abeid Karume (kushoto) akisalimiana na Makamu wa Mwenyekiti wa chama hicho Tanzania Bara, Pius Msekwa wakati wa uzinduzi wa maadhimisho ya miaka 34 tangu kuzaliwa kwa CCM zilizofanyika katika viwanja vya Biafra, Dar es Salaam. Anayeshuhudia ni Katibu Mkuuu wa chama hicho, Yusuf Makamba. (Picha na Fadhili Akida).
 
Siku CCM inapigwa mweleka na wapigakura.............................basi kila mmoja atachanja mbuga.........................na hakuna kuagana kama Kanu ya Kenya..................................
 
siku ccm inapigwa mweleka na wapigakura.............................basi kila mmoja atachanja mbuga.........................na hakuna kuagana kama kanu ya kenya..................................
si wanajifanya hawajui mwisho wa ubaya.we waangalie tu ivo ivo tunasubiri zamu yao mpaka misri wakamilishe ndo tufuatie.
 
Back
Top Bottom