Kukamatwa Juzi kwa Kato Rasta Muuaji wa Afande Muna Kawe ni jibu tosha kuwa huwezi Kuikimbia popote pale Jamhuri kama ikikutaka

Watu wakiamua kufanya kazi lazima utadakwa...ndomana kuna interpol
Ila nashangaa mtu kama a.masawe alitoka nduki hakuna unfamiliarity wowote uliyofanyika kwake

Ova
Dah ! Umenikumbusha Alex Masawe , jambazi ,tapeli na muuaji sugu Tanzania
Hivi alitorokea wapi yule jambazi ?
Nasikia alikuwa muislamu sikuhizi
Na zile hotels zake za AM hotels bado zinafanya kazi ,sasa nani anazisimamia ?
Enzi za Magufuli palikuwa pa moto sana humu
Wale majambazi wenzake akina papa Msofe na mtoto wa ndama walikiona cha mtema kuni
Huyu jambazi sijui atakuwa wapi
Mrangi tujuze tafadhali
 

yuko SA, alikimbia toka zama za JK, alijichimbia Dubai then akarudi SA..yule ni wakimataifa na mtandao wake sio wa kitoto.

Watoto wa mjini ni watoto wa mjini tu, Ndama na Msofe wapo tu wanakula maisha.
 
Kujificha kunahitaji hela, jamaa alifanya kosa bila kutarajia hivyo hakuwa amejipanga.

ukiwa na 15 to 25m dar es salaam hapohapo unaweza kujificha mpaka unazeeka, kanuni ni moja tu, kubali kutokuwa na ndugu duniani, hata baba na mama yako wapotezee milele, utaishi milele hata kama una murder case.

Tanzania ni nchi rahisi sana kujificha ma usionekane milele, ila kubali kupoteza ndugu zako woote.
 
Alitorokaje akiwa mikononi mwa polisi?


Mchoma Kisu ( Muuaji Kato ) amekamatwa Jana akiwa njiani Kutoroka na Wanajeshi walitaka wapewe Wao, ila Jeshi la Polisi likawakatalia na Kumshikilia wao wakisema hiyo ni Kesi ya Kiraia na siyo ya Kijeshi kama ambavyo Wanajeshi walikuwa wanataka Kuilazimisha iwe hivyo.
 
Je ulikuwa unamjua?kwa taarifa yako huyo aliyekamatwa sio mwenyewe uyo ni wa kubumba tu kujikosha na aibu
 
Angekuwa aliuwawa mpinzani hapo interejensia ya polisi haifanyi kazi jeshi la ajabu sana.
 
yuko SA, alikimbia toka zama za JK, alijichimbia Dubai then akarudi SA..yule ni wakimataifa na mtandao wake sio wa kitoto.

Watoto wa mjini ni watoto wa mjini tu, Ndama na Msofe wapo tu wanakula maisha.
Aisee ,lile dingi ni mafia Sana lile
Deals chafu nyingi humu Bongo limefanya na lilikuwa na mtandao hatari sana kuanzia utapeli wa madini feki kuwauzia wageni , uporaji na ujambazi wa madini na vito vya thamani toka kwa wafanyabishara na wachimbaji , utapeli wa nyumba ,magari , blackmail
Alikuwa mshenzi sana yule jamaa
 
Kwa kiasi kikubwa, Polisi wa Tanzania bado wako ktk ANALOGY.

Hata ukichunguza kwa umakini, utagundua kwamba Askari Polisi wengi zaidi, karibia wote wenye vyeo vya juu ukianzia na IGP mwenyewe utaona kwamba wote tunawaita kuwa ni BBC (i.e. Born Before Computer).
 
Kitendo cha wewe kusikia kwamba alitaka kutorokea msumbiji,,
.tayari alishawekewa mtego.

Kumbuka kwamba Ruvuma ipo border na msumbiji..
Mikoani ukiwa mgeni ni rahisi sana kugundulika.

Angekuwa mwerevu,,
--angekata rasta
--angebaki hapa hapa Dar wakati wao wanakimbizana mikoani kumtafuta.
--Angeacha matumizi ya simu..

--Angeanzisha new network ya watu wengine na sio watu wake wa zamani..
 
Toka zamani wakiamua jambo hawashindwi.
Changamoto ni ukosefu wa rasilimali hasa fedha.
 
Mkuu unanipa wasiwasi...la Cosa nostra
 
Alipatikana mifupa tu, na pesa zilionekana
 
Sio kuwa wanatumia mnara, bali teknolojia ya kiusalama iliopo sasa huko usalamani ofisini, wanakupata kwa king'amuzi kama google map location pale uwashapo simu ilioambatana na line iliosajiliwa uliotumia kipindi unasepa, iwe umesajili kwa jina lako au umekimbia na line ya mjomba.
Hii huwa kwa wale wanaowataka. Kama case ya kuiba kuku au kutafuta simu kibaka aliokimbia nayo i.nteligensia ya nchi haina mpango nayo. Utaibiwa na serikali itaufinya ili ukanunue ingine uchumi biashara ya simu ukue. Hoja ya pili ipo hivyo ili usijue ukajua namna ya kukwepa
 
Sio kuwa wanatumia mnara, bali teknolojia ya kiusalama iliopo sasa huko usalamani ofisini, wanakupata kwa king'amuzi kama google map location pale uwashapo simu ilioambatana na line iliosajiliwa uliotumia kipindi unasepa, iwe umesajili kwa jina lako au umekimbia na line ya mjomba.
Hii huwa kwa wale wanaowataka. Kama case ya kuiba kuku au kutafuta simu kibaka aliokimbia nayo i.nteligensia ya nchi haina mpango nayo. Utaibiwa na serikali itaufinya ili ukanunue ingine uchumi biashara ya simu ukue.
 
Mpaka wewe usiona kitu unajua mtuhumiwa anataka kukimbilia Msumbiji sasa hao polisi wasijue?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…