Dah ! Umenikumbusha Alex Masawe , jambazi ,tapeli na muuaji sugu TanzaniaWatu wakiamua kufanya kazi lazima utadakwa...ndomana kuna interpol
Ila nashangaa mtu kama a.masawe alitoka nduki hakuna unfamiliarity wowote uliyofanyika kwake
Ova
Hivi alitorokea wapi yule jambazi ?
Nasikia alikuwa muislamu sikuhizi
Na zile hotels zake za AM hotels bado zinafanya kazi ,sasa nani anazisimamia ?
Enzi za Magufuli palikuwa pa moto sana humu
Wale majambazi wenzake akina papa Msofe na mtoto wa ndama walikiona cha mtema kuni
Huyu jambazi sijui atakuwa wapi
Mrangi tujuze tafadhali