Kukamatwa Juzi kwa Kato Rasta Muuaji wa Afande Muna Kawe ni jibu tosha kuwa huwezi Kuikimbia popote pale Jamhuri kama ikikutaka

Huo muda unao sasa.
 
Huyo mtu namfahamu
 
Kosa LA pili in kwenda kwa waganga wa jadi. Hao waganga Siku nyingi sana wameshakuwa recruited kama informants.
 
Huyo hakujipanga ila ukijipanga mbona chap mbn dar hapa hapa unaishi hata miaka mana unaongia ndichi una muajir mtu awe anakuletea vtu we na bando likiwepo bc kesi imeisha
Yule anaendesha bajaji,kwa kipato chake hawezi kuvuka border
Akaanzishe maisha mapya,kukimbia kwenda sehemu ngeni inahitaji pesa pia
Kwa kifupi, kitendo alichofanya kimemuharibia tu maisha yake

Ova
 
Hivi angetumia simu ya mtu mwingine au asajiliwe simcard/laini na mtu mwingine, then apunguze hayo mawasiliano angeongeza chance ya kutopatikana.

Pia, kwa nini asingeenda kujificha huko bush ndani ndani kabisa badala yake anakimbilia mijini ambapo ni risk kuonekana kwa watu wengi..

Bado nina imani hii nchi unaweza kujificha kwa muda mrefu na usipatikane kirahisi
 
Hujamjibu kisawasawa. Ni hivi unapopiga simu Huwa Ina register coordinates za sehemu ulipo na mda uliopiga simu na namba ya mtu uliempigia. Sasa ukichukua hizo coordinates ukaweka kwenye google map unaona Hadi mhusika alipopigia simu.

Ukiachana na hilo kila simu Huwa Ina IMEI ambapo ukibadilisha tu line kwenye mtandao wa simu inaonekana ni namba gani imewekwa kwenye simu hiyo. Suala la kupigia watu wako wa karibu linakuja pale mlikuwa location Moja.

Hivyo basi ukifanya tukio, hakikisha unatupa simu pamoja na line. Tofauti na hapo unafakwa asubuhi na mapema.

Polisi wetu Wana uwezo wa kukamata waharifu shida ni rushwa imetawala ukiripoti wakiona ni dili wanawahi kumfikua mtuhumiwa wanachukua chao huku unabaki unazungushwa.

Kuna kituo Cha polisi karibu na ubalozi Fulani wataalamu sana wa nilicho kisema hapo juu
 
Ujinga ni kujifanya unajificha halafu unazima simu na kuwasha au kutupa Line ya simu na kununua mpya afu kuendelea kutumia simu Ile Ile.
Tupa simu tupa line uone kama utadakwa kirahisi. Ingekuwa mm ningekuwa Mogadishu muda huu
wengi hawajui,halafu pia kinachowashinda wengi kujificha na kukamatwa ni kukosekana kwa maokoto,mfano uyo jamaa usijekuta baada ya kufanya mauaji akakimbia,uko alikokimbilia pesa zinamuishia anabaki kuwapigia simu watu wake wa zamani kwa minajiri labda wamtumie pesa,matokeo yake kukamatwa,
 
ni kweli kabisa
 
Vipi angebadilisha simu na laini mpya?
Kukaa mbali na mazingira/watu uliowazoea ni mtihani mkubwa sana mkuu. It's a psychological torture kwako na kwa familia yako pia, plus hofu ya kukamatwa muda wowote ule, unakaa roho juu juu, hata akija chizi maeneo yako unasihi huyu labda ni usalama ametumwa kunipeleleza, yaani ni shida juu ya shida.

Being a fugitive on the run is not easy at all..
 
Mkuu unajua kama Dora na yenyewe inatumia uchawi kutafuta watu, Vyombo vya dora vina waganga wao.
 
Mkuu unajua kama Dora na yenyewe inatumia uchawi kutafuta watu, Vyombo vya dora vina waganga wao.
Inawezekana kabisa hata mtumishi husika akajiongeza tu kwenda kwa mganga
 
Inawezekana kabisa hata mtumishi husika akajiongeza tu kwenda kwa mganga
Nikweli kwa mifumo ya nchii haipo vizur kama ya Ulaya na nchi yetu ni kubwa mnoo, kwahiyo muharifu akijichimbia pahala kuja kumkamata ni ngumu, Ndiyo maana kwenye familia utakuta kijana ametokomea sehemu bila kukumbuka nyumbani kwao lakini Wazazi wake wakitumia njia ya Asili wanaweza kumrudisha nyumbani ata kama huyo Kijana yupo Ulaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…