Kukamatwa Juzi kwa Kato Rasta Muuaji wa Afande Muna Kawe ni jibu tosha kuwa huwezi Kuikimbia popote pale Jamhuri kama ikikutaka

Mabasi yote yana kamera?
 
Hapo nunua line ya mchongo isiyo na usajili wa majina yako. .tafuta chaka mikoa ambayo ina shuguli za madini na uvuvi (wageni huwa wengi) hvyo hakuna atakayehisi ugeni wako ..jitupie huko kisha kata mawasiliano na mtu yoyote kwa muda wa mwaka mmoja.
Du. Wewe ni rahisi sana kukamatwa. Line ya mchongo uitumie wakati wanakuwa wanasikiliza simu za ndugu, rafiki na jamaa zako wote? Halafu huko kwenye shughuli za madini huko ni lazima watakuwa wanapitapita kuangalia.
 
Usisafiri safari ndefu
Mabasi huwa yanahofiwa na kusachiwa we panda magari ya masafa mafupi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaa upo sahihi serikali inamkono mrefu
 
Hiyo ni kweli hujaona hata kwenye movie mtu kama anatafutwa hatumiagie smartphone wanatumiaga simu hazina intaneti hata, wanasiasa wote ukiwachunguza utakuta Wana hizi simu ndogondogo hazitrackiwi
 
"If you keep on the past the future will never discover you."
Osama bin Laden.
 
Unajidanganya, teknolojia imekuwa sana siku hizi.
There are so many hardware devices and Softwares for Phone Spying (for both Smartphones and Cellphones or Cellular Phones). So, Take a Great Care!
Hiyo ni kweli hujaona hata kwenye movie mtu kama anatafutwa hatumiagie smartphone wanatumiaga simu hazina intaneti hata, wanasiasa wote ukiwachunguza utakuta Wana hizi simu ndogondogo hazitrackiwi
 

Mapambio huyeyusha werevu. Nchi zilizoendelea pamoja na budget kubwa ya inayotengwa kuimarisha teknolojia ya usalama, bado kuna “unsolved cases” nyingi tu zimerundikana. Ndo uje useme Tanzania teknolojia imekua kwenye mambo ya ulinzi na usalama?

Ukileta ubabe, uwe tayari kupokea matokeo regardless cheo na wadhifa wako. Watu sio wanyonge. Huyo bakabaka alipata alichostahili kwa wakati huo. RIP
 
Mkuu pamoja na kuisifia intelijensia ya tanpol....ni muhimu pia watu kutambua kuwa unapofanya kosa ambalo unatafutwa na dola njia primitive ya kutoroka ni kuzima simu....

kuzima simu tu hakutoshi....tupa simu nzima pamoja na line zake walau utawakimbia hata miezi kadhaa japo utadakwa tu.

Simu ndio adui namba moja kwa usaliti kwa mhalifu.
 
Hoja yako ina ukweli mchungu kwa kiasi Fulani.
Wanajeshi wengi sana Wana tabia mbaya za ubabe ubabe wakiwa mitaani huko uraiani.
 
Traceability ya wahalifu inaweza kufanyika kwa namna nyingi sana, hususani ktk zama hizi za sayansi na teknolojia ya hali ya juu zaidi.
1.Phone spying (Tracking and Tracing).
2.Other Electronic devices Spying, e.g. Smart TV Spying, Trackers, etc.
3.Facial Recognition Technology kupitia Camera za Usalama za Mitaani, Barabarani, City Parks, Shopping Malls, ATM, etc
4.Iris Scanning Technology, kupitia Camera za usalama za mitaani, barabarani, ATMs, etc.
5. HUMINT, e.g. Surveillances, etc., etc, etc.
6.Finger Scanning Technology, kupitia ATM za Benki, etc.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…