Mkuu pamoja na kuisifia intelijensia ya tanpol....ni muhimu pia watu kutambua kuwa unapofanya kosa ambalo unatafutwa na dola njia primitive ya kutoroka ni kuzima simu....
kuzima simu tu hakutoshi....tupa simu nzima pamoja na line zake walau utawakimbia hata miezi kadhaa japo utadakwa tu.
Simu ndio adui namba moja kwa usaliti kwa mhalifu.
Traceability ya wahalifu inaweza kufanyika kwa namna nyingi sana, hususani ktk zama hizi za sayansi na teknolojia ya hali ya juu zaidi.
1.Phone spying (Tracking and Tracing).
2.Other Electronic devices Spying, e.g. Smart TV Spying, Trackers, etc.
3.Facial Recognition Technology kupitia Camera za Usalama za Mitaani, Barabarani, City Parks, Shopping Malls, ATM, etc
4.Iris Scanning Technology, kupitia Camera za usalama za mitaani, barabarani, ATMs, etc.
5. HUMINT, e.g. Surveillances, etc., etc, etc.
6.Finger Scanning Technology, kupitia ATM za Benki, etc.