Supu ya kokoto
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,194
- 7,602
Hizi electronics kama siku na devices zingine sio za kuokota zama hizi. Tuwe makini muda haurudi nyuma.dah hapa kuna la kujifunza! Yani mpaka ukweli unakuja kujulikana tayari ushasota rumande kwa kipindi kirefu
Tena km alishaingia Songea, angezamia matimira, kilagano, muhukuru au mpitimbi, angekamatwaa wapiiii?Tuhitimishe hapa kwa kusema tu kuwa hali ngumu ya kiuchumi ndiyo imemfanya kato akamatwe,maana inafika kipindi lazima uwapigie simu rafiki zako wa karibu wakubust kiuchumi.
Yani huyu ilibidi aende vijijin huko mikoa ya mbali akawe kibarua tu wa mashambani.
Dokta shkamooo!
nasemaje... Natafuna lines natupa kule halafu sim natupa yenyewe tupu bila line then ataokota mtu mwingne ataweka lain zake au tauza kivyovyote! Vipi hapo sijauza msala?Haisaidii. Kikubwa itajulikana hiyo laini imetumika kwenye simu gani,namba imewasiliana na kina nani,wameongea nini.
Kuepusha shali, ni kosa kuokota laini na kuanza kuitumia,ikitokea mwenyewe ni wa hivyo,hata wewe utashikiliwa kwa mda kwa mahojiano zaidi.
Aliishiwa pesa ya matumizi bhana. Ndo maana amedakwaa.Hahahahaha!!!
Hivi mkuu, labda jambazi. Uue kwa bahati mbaya af ukae utulie! Af tena, umeua mwanajeshi? Dah! Sidhani. Huenda aliendelea na kazi yake,akasahau kuwa na picha yake inatembea,au alipiga simu kuaga kuwa anaingia huko ndo akadakwa.
Ukiyakanyaga tu,lazima nafsi ikose muelekeo
Lazima uwe mzoefu wa uhalifu kuna wenge pia damu ya mtu.....sio rahisi mnavyofikiria.....vibarua songea huko sio lelemamaWee km aliingia songea, si angejichanganya kwa watu huko kijijini na kujifanya kibarua wa kulima msimu huu wake kabisa, angedakwa wapii?
Yeye ameshindwa kujiongezaaa. Poleee yake
Ndio maana kadakwaSasa hapo,dereva wa bajaji alikuwa na pesa gani ya kutosha? Ambayo ni Sh ngapi?
Mkuu, unazungumzia Tanzania hii hii? Ni wangapi wanajua hata crypto?Simple tricks from my own knowledge
Ckuzote cmu huonyesha mahali ulipo, especially tz you can escape easily mtego wa kukamatwa na PT/ TISS
First switch VPN
You can buy new phone
Or
Change cmu card while your phone on vpn through WiFi
Then communicate through internet call (chat & call through telegram )
Pesa zote ziamishie binance uwe na crypto currency tuu USDT , huduma zote lipa kwa mfumo huo
Usijarbu ku withdrawal pesa bank au kwa agent kwakutumia details zako
sure mkuu hata kuombwa sim kwamba nimpigie fulani bado sio nzuriHizi electronics kama siku na devices zingine sio za kuokota zama hizi. Tuwe makini muda haurudi nyuma.
Unavyoongea kama vile ni kesi ya Kuku pana mtu alienda kukamatwa Athrone Cape Town na kule alipewa kabisa msikiti kama sheihk alikua anatoa sana misaada Cape Town alivyokamatwa watu walidhani kabambikiwa kesi walitaka kuandamana wakaambiwa tarehe aliyofika SA na watu anaoshirikiana nao huko Pakistan ikabidi watulie Bunge la SA liliingilia kati kuwa ahukumiwe SA baadae wakakubaliana apelekwe kwenye Jimbo ambalo wamefuta hukumu ya kunyongwa hadi kufa yupo huko USA kahukumiwa maisha Jela yule Kijana wa Kizanzibar....waliolipua ubalozi wa USA daslmSimple tricks from my own knowledge
Ckuzote cmu huonyesha mahali ulipo, especially tz you can escape easily mtego wa kukamatwa na PT/ TISS
First switch VPN
You can buy new phone
Or
Change cmu card while your phone on vpn through WiFi
Then communicate through internet call (chat & call through telegram )
Pesa zote ziamishie binance uwe na crypto currency tuu USDT , huduma zote lipa kwa mfumo huo
Usijarbu ku withdrawal pesa bank au kwa agent kwakutumia details zako
Hivyo ya kuombwa siku ndio mbaya zaidi maana likimkuta ya yote kati yao ....unawekwa mtu kati.sure mkuu hata kuombwa sim kwamba nimpigie fulani bado sio nzuri
Acha ujuaji WA kijinga , kuna Kato mnyiramba ?Aliua Kawe Dar es Salaam tarehe 25 Oktoba, 2023 na Kakamatwa rasmi Juzi tarehe 29 Desemba, 2023 huko Mkoani Ruvuma.
Na ili kuonyesha kuwa Intelijensia ya Jeshi la Polisi nchini ni Kali ni kwamba ndani ya Miezi hii Miwili Muuaji Rakesh Kato Mayele ( alias ) Rasta Kato au Rasta Mayele ( Dereva Bajaji Kawe ) alikuwa akiwakimbia / akiwakwepa Polisi kwa Kuhamahama Mikoa ambapo aliishi Mikoa karibia Mitano kabila ya Mbio zake kuishia rasmi Mkoani Ruvuma ( Songea ) ambako ndiko Alikodakiwa / Alikokamatwa.
Namaliza tu kwa kusema kuwa kwa Teknolojia Kubwa iliyoko Tanzania kwa sasa na Intelijensia Mahiri ya Jeshi la Polisi, JWTZ na TISS ukiona umefanya Tukio lolote lile baya cha kufanya haraka sana ambacho nakushauri ni Wewe Kujiua tu ila usijidanganye kuwa hutopatikana kamwe kwa Kigezo cha Kutegemea Waganga wa Kienyeji kama ambavyo alikuwa akifanya huyu Kijana Muuaji Kato aliyemuua Afisa wa JWTZ Kanali Deogratius Muna ( Mtani wangu wa Kinyiramba ) kutokea Mkoa wa Singida.
Hongera sana PT kwa Kumkamata.
Kufahamu mkasa huo, soma: Updates za kifo cha Afande Luteni Kanali Muna aliyeuawa Kawe kwa kuchomwa kisu na dereva bajaji Kato
Hapa unazungumzia Ma mbele huko siyo bongoHata usipotumia chombo chochote Cha mawasiliano labda usipande hata basi
Mabasi Yana kamera ndani picha hurushwa Kwa vyombo vyote vya Usafiri utadakwa tu
Ukitumia Usafiri private Traffic wote wanakuwa na picha ya mhalifu ukisimamishwa gari watajifanya wanakagua ushushe vioo vyote wanakagua Hadi kwenye buti nk kumbe wanakuwinda mwenyewe
2013 kwetu tulipata kibarua wa shamba, yule bwana kumbe huko kwao aliua jamaa mwenzie wakiwa kibanda umiza huko Tabora,Lazima uwe mzoefu wa uhalifu kuna wenge pia damu ya mtu.....sio rahisi mnavyofikiria.....vibarua songea huko sio lelemama
mim nilishaacha haya mambo sim yangu ya mkononi ni yangu mwenyewe litakalotokea kwa matumizi mabaya ya sim yangu, nitawajibika mwenyewe. Hata uje kikongwe unaomba mawasiliano umpgie ndg yako sipo tayari kukupa sim yanguHivyo ya kuombwa siku ndio mbaya zaidi maana likimkuta ya yote kati yao ....unawekwa mtu kati.
Mbaya zaidi uwe humfahamu uliyempa simu.
Kwa hiyo Askari wetu akipata matatizo Askari mwenzao wanaweza kufanya ufuatiliaji ila kwa wananchi story nyingiAliua Kawe Dar es Salaam tarehe 25 Oktoba, 2023 na Kakamatwa rasmi Juzi tarehe 29 Desemba, 2023 huko Mkoani Ruvuma.
Na ili kuonyesha kuwa Intelijensia ya Jeshi la Polisi nchini ni Kali ni kwamba ndani ya Miezi hii Miwili Muuaji Rakesh Kato Mayele ( alias ) Rasta Kato au Rasta Mayele ( Dereva Bajaji Kawe ) alikuwa akiwakimbia / akiwakwepa Polisi kwa Kuhamahama Mikoa ambapo aliishi Mikoa karibia Mitano kabila ya Mbio zake kuishia rasmi Mkoani Ruvuma ( Songea ) ambako ndiko Alikodakiwa / Alikokamatwa.
Namaliza tu kwa kusema kuwa kwa Teknolojia Kubwa iliyoko Tanzania kwa sasa na Intelijensia Mahiri ya Jeshi la Polisi, JWTZ na TISS ukiona umefanya Tukio lolote lile baya cha kufanya haraka sana ambacho nakushauri ni Wewe Kujiua tu ila usijidanganye kuwa hutopatikana kamwe kwa Kigezo cha Kutegemea Waganga wa Kienyeji kama ambavyo alikuwa akifanya huyu Kijana Muuaji Kato aliyemuua Afisa wa JWTZ Kanali Deogratius Muna ( Mtani wangu wa Kinyiramba ) kutokea Mkoa wa Singida.
Hongera sana PT kwa Kumkamata.
Kufahamu mkasa huo, soma: Updates za kifo cha Afande Luteni Kanali Muna aliyeuawa Kawe kwa kuchomwa kisu na dereva bajaji Kato
Sahihi mkuumim nilishaacha haya mambo sim yangu ya mkononi ni yangu mwenyewe litakalotokea kwa matumizi mabaya ya sim yangu, nitawajibika mwenyewe. Hata uje kikongwe unaomba mawasiliano umpgie ndg yako sipo tayari kukupa sim yangu
Ok. Good to hear this from an expert.Tunatakiwa tufahamu kuwa duniani kote mhalifu anayetafutwa (hata mimi na wewe ikitokea ,Mungu aepushe ) hukumbwa na vitu viwili vikuu ambavyo ni :
1) Hofu (Fear): ni hali ya wasiwasi inayompata mtu au mnyama mbele ya mwingine au kingine kisichompendeza au kuhatarisha usalama wake.
2) Woga (Paranoia/ Anxiety) (Naomba nirekebishwe): ni tabia ya kupatwa na hofu kupita kiasi inayokuwa ndani ya binadamu juu ya kitu au vitu fulanifulani.
Hivyo vitu viwili hupelekea kufanya makosa ya kimkakati ambayo vyombo vya dola huvitumia kama faida kwao! Ukiwa na hivyo vitu ni lazima narudia tena ni lazima utafanya makosa.
Moja ya mafunzo ya kijasusi na machache kwa vyombo vya dola ni kukuondolea hivyo vitu vikuu viwili na kukupa vitu vipya! Baada ya kuondolewa hivi vitu huwa wanaweza kuhimili hali zote! Mimi na wewe hatuwezi!
Mfano 1: mwangalie Kikwete na marehemu Magufuli reaction zao kuhusu jambo lolote, utagundua mmoja amekasirika mwingine anatabasamu.
Unaweza kuona huyu aliyekasirika ni jasiri kumbe ni kinyume chake! Mwingine ana hisia mwingine anaigiza hisia!
Mfano 2: Mwangalie Putin na Kim wa Korea Kaskazini, namaanisha kampe taarifa Kim kuwa wanajeshi wako 1000 wamekufa halafu nenda kwa Putin kampe hiyo taarifa!
Nb: 1) Hisia hupelekea kufanya makosa!
Nb 2) Mhalifu siku zote huwa mwoga!
Nb 3) Dola halina hisia ila watu wake wana hisia!
Ni mtazamo wangu!
"The escape man is still human, he is still afraid, Fear becomes paranoia, paranoia ultimately psychosis. I bring this up because in one hundred and forty years, the fundamental mind of the escape man has not changed "- FBI Special Agent Alexander Mahone (Prison Break)