Kukamatwa Juzi kwa Kato Rasta Muuaji wa Afande Muna Kawe ni jibu tosha kuwa huwezi Kuikimbia popote pale Jamhuri kama ikikutaka

Kukamatwa Juzi kwa Kato Rasta Muuaji wa Afande Muna Kawe ni jibu tosha kuwa huwezi Kuikimbia popote pale Jamhuri kama ikikutaka

Tuhitimishe hapa kwa kusema tu kuwa hali ngumu ya kiuchumi ndiyo imemfanya kato akamatwe,maana inafika kipindi lazima uwapigie simu rafiki zako wa karibu wakubust kiuchumi.
Yani huyu ilibidi aende vijijin huko mikoa ya mbali akawe kibarua tu wa mashambani.
Tena km alishaingia Songea, angezamia matimira, kilagano, muhukuru au mpitimbi, angekamatwaa wapiiii?

Yaan huko angekua kibarua wa mashambani, angetafuta demu na kuoa hapo kijijini, angekaa miaka kadhaa afu angechoropokaa.
 
Haisaidii. Kikubwa itajulikana hiyo laini imetumika kwenye simu gani,namba imewasiliana na kina nani,wameongea nini.
Kuepusha shali, ni kosa kuokota laini na kuanza kuitumia,ikitokea mwenyewe ni wa hivyo,hata wewe utashikiliwa kwa mda kwa mahojiano zaidi.
nasemaje... Natafuna lines natupa kule halafu sim natupa yenyewe tupu bila line then ataokota mtu mwingne ataweka lain zake au tauza kivyovyote! Vipi hapo sijauza msala?
 
Hahahahaha!!!

Hivi mkuu, labda jambazi. Uue kwa bahati mbaya af ukae utulie! Af tena, umeua mwanajeshi? Dah! Sidhani. Huenda aliendelea na kazi yake,akasahau kuwa na picha yake inatembea,au alipiga simu kuaga kuwa anaingia huko ndo akadakwa.
Ukiyakanyaga tu,lazima nafsi ikose muelekeo
Aliishiwa pesa ya matumizi bhana. Ndo maana amedakwaa.
 
Wee km aliingia songea, si angejichanganya kwa watu huko kijijini na kujifanya kibarua wa kulima msimu huu wake kabisa, angedakwa wapii?

Yeye ameshindwa kujiongezaaa. Poleee yake
Lazima uwe mzoefu wa uhalifu kuna wenge pia damu ya mtu.....sio rahisi mnavyofikiria.....vibarua songea huko sio lelemama
 
Simple tricks from my own knowledge

Ckuzote cmu huonyesha mahali ulipo, especially tz you can escape easily mtego wa kukamatwa na PT/ TISS

First switch VPN
You can buy new phone
Or
Change cmu card while your phone on vpn through WiFi
Then communicate through internet call (chat & call through telegram )

Pesa zote ziamishie binance uwe na crypto currency tuu USDT , huduma zote lipa kwa mfumo huo

Usijarbu ku withdrawal pesa bank au kwa agent kwakutumia details zako
Mkuu, unazungumzia Tanzania hii hii? Ni wangapi wanajua hata crypto?
 
Simple tricks from my own knowledge

Ckuzote cmu huonyesha mahali ulipo, especially tz you can escape easily mtego wa kukamatwa na PT/ TISS

First switch VPN
You can buy new phone
Or
Change cmu card while your phone on vpn through WiFi
Then communicate through internet call (chat & call through telegram )

Pesa zote ziamishie binance uwe na crypto currency tuu USDT , huduma zote lipa kwa mfumo huo

Usijarbu ku withdrawal pesa bank au kwa agent kwakutumia details zako
Unavyoongea kama vile ni kesi ya Kuku pana mtu alienda kukamatwa Athrone Cape Town na kule alipewa kabisa msikiti kama sheihk alikua anatoa sana misaada Cape Town alivyokamatwa watu walidhani kabambikiwa kesi walitaka kuandamana wakaambiwa tarehe aliyofika SA na watu anaoshirikiana nao huko Pakistan ikabidi watulie Bunge la SA liliingilia kati kuwa ahukumiwe SA baadae wakakubaliana apelekwe kwenye Jimbo ambalo wamefuta hukumu ya kunyongwa hadi kufa yupo huko USA kahukumiwa maisha Jela yule Kijana wa Kizanzibar....waliolipua ubalozi wa USA daslm
 
Aliua Kawe Dar es Salaam tarehe 25 Oktoba, 2023 na Kakamatwa rasmi Juzi tarehe 29 Desemba, 2023 huko Mkoani Ruvuma.

Na ili kuonyesha kuwa Intelijensia ya Jeshi la Polisi nchini ni Kali ni kwamba ndani ya Miezi hii Miwili Muuaji Rakesh Kato Mayele ( alias ) Rasta Kato au Rasta Mayele ( Dereva Bajaji Kawe ) alikuwa akiwakimbia / akiwakwepa Polisi kwa Kuhamahama Mikoa ambapo aliishi Mikoa karibia Mitano kabila ya Mbio zake kuishia rasmi Mkoani Ruvuma ( Songea ) ambako ndiko Alikodakiwa / Alikokamatwa.

Namaliza tu kwa kusema kuwa kwa Teknolojia Kubwa iliyoko Tanzania kwa sasa na Intelijensia Mahiri ya Jeshi la Polisi, JWTZ na TISS ukiona umefanya Tukio lolote lile baya cha kufanya haraka sana ambacho nakushauri ni Wewe Kujiua tu ila usijidanganye kuwa hutopatikana kamwe kwa Kigezo cha Kutegemea Waganga wa Kienyeji kama ambavyo alikuwa akifanya huyu Kijana Muuaji Kato aliyemuua Afisa wa JWTZ Kanali Deogratius Muna ( Mtani wangu wa Kinyiramba ) kutokea Mkoa wa Singida.

Hongera sana PT kwa Kumkamata.

Kufahamu mkasa huo, soma: Updates za kifo cha Afande Luteni Kanali Muna aliyeuawa Kawe kwa kuchomwa kisu na dereva bajaji Kato
Acha ujuaji WA kijinga , kuna Kato mnyiramba ?
Unajua maana ya kina Kato kwa kihaya na luganda ?
Halafu huyo kijana si alikuwa ameshakamatwa kitambo ?
Si wewe uliwahi kusema humu kuwa ameshakamatwa alipokuwa anaenda kufuatilia pikipiki yake iliyoibiwa huko Mwenge ?
 
Hata usipotumia chombo chochote Cha mawasiliano labda usipande hata basi

Mabasi Yana kamera ndani picha hurushwa Kwa vyombo vyote vya Usafiri utadakwa tu

Ukitumia Usafiri private Traffic wote wanakuwa na picha ya mhalifu ukisimamishwa gari watajifanya wanakagua ushushe vioo vyote wanakagua Hadi kwenye buti nk kumbe wanakuwinda mwenyewe
Hapa unazungumzia Ma mbele huko siyo bongo

Kwa maana hiyo jamaa kupita mikoa yote hiyo alitembea kwa miguu?
 
Lazima uwe mzoefu wa uhalifu kuna wenge pia damu ya mtu.....sio rahisi mnavyofikiria.....vibarua songea huko sio lelemama
2013 kwetu tulipata kibarua wa shamba, yule bwana kumbe huko kwao aliua jamaa mwenzie wakiwa kibanda umiza huko Tabora,
Yule bwana alikua mtiifu wa kazi za shamba na kuchunga mifugo yetu,

Alikaa pale kijijini had 2016 akaoa na kuanzisha familia yake, 2019 kuna jamaa mnunua mazao kumbe ni wa huko kijijini kwao na anamfahamu, alivyofika kumuona alihamaki, kakuta mwenzake ana mke na mtoto na nyumba yake, kiufupi ana maisha yake,
Yule jamaa ndo akatusimulia pale home, nakumbuka mzee akamuambia yule mgeni asiseme kwa watu, huwezi amini baada ya muda ndugu wa yule kibarua walikuja kule kijijini, navyoongea maisha yake yako pale kijijini ana fuga ng'ombe na mbuzi, kurudi kwao hataki tena, ila ndugu zake ndo wanamtembelea.
 
Hivyo ya kuombwa siku ndio mbaya zaidi maana likimkuta ya yote kati yao ....unawekwa mtu kati.
Mbaya zaidi uwe humfahamu uliyempa simu.
mim nilishaacha haya mambo sim yangu ya mkononi ni yangu mwenyewe litakalotokea kwa matumizi mabaya ya sim yangu, nitawajibika mwenyewe. Hata uje kikongwe unaomba mawasiliano umpgie ndg yako sipo tayari kukupa sim yangu
 
Tunatakiwa tufahamu kuwa duniani kote mhalifu anayetafutwa (hata mimi na wewe ikitokea ,Mungu aepushe ) hukumbwa na vitu viwili vikuu ambavyo ni :

1) Hofu (Fear): ni hali ya wasiwasi inayompata mtu au mnyama mbele ya mwingine au kingine kisichompendeza au kuhatarisha usalama wake.

2) Woga (Paranoia/ Anxiety) (Naomba nirekebishwe): ni tabia ya kupatwa na hofu kupita kiasi inayokuwa ndani ya binadamu juu ya kitu au vitu fulanifulani.

Hivyo vitu viwili hupelekea kufanya makosa ya kimkakati ambayo vyombo vya dola huvitumia kama faida kwao! Ukiwa na hivyo vitu ni lazima narudia tena ni lazima utafanya makosa.

Moja ya mafunzo ya kijasusi na machache kwa vyombo vya dola ni kukuondolea hivyo vitu vikuu viwili na kukupa vitu vipya! Baada ya kuondolewa hivi vitu huwa wanaweza kuhimili hali zote! Mimi na wewe hatuwezi!

Mfano 1: mwangalie Kikwete na marehemu Magufuli reaction zao kuhusu jambo lolote, utagundua mmoja amekasirika mwingine anatabasamu.

Unaweza kuona huyu aliyekasirika ni jasiri kumbe ni kinyume chake! Mwingine ana hisia mwingine anaigiza hisia!

Mfano 2: Mwangalie Putin na Kim wa Korea Kaskazini, namaanisha kampe taarifa Kim kuwa wanajeshi wako 1000 wamekufa halafu nenda kwa Putin kampe hiyo taarifa!

Nb: 1) Hisia hupelekea kufanya makosa!

Nb 2) Mhalifu siku zote huwa mwoga!

Nb 3) Dola halina hisia ila watu wake wana hisia!

Ni mtazamo wangu!

"The escape man is still human, he is still afraid, Fear becomes paranoia, paranoia ultimately psychosis. I bring this up because in one hundred and forty years, the fundamental mind of the escape man has not changed "- FBI Special Agent Alexander Mahone (Prison Break)
 
Aliua Kawe Dar es Salaam tarehe 25 Oktoba, 2023 na Kakamatwa rasmi Juzi tarehe 29 Desemba, 2023 huko Mkoani Ruvuma.

Na ili kuonyesha kuwa Intelijensia ya Jeshi la Polisi nchini ni Kali ni kwamba ndani ya Miezi hii Miwili Muuaji Rakesh Kato Mayele ( alias ) Rasta Kato au Rasta Mayele ( Dereva Bajaji Kawe ) alikuwa akiwakimbia / akiwakwepa Polisi kwa Kuhamahama Mikoa ambapo aliishi Mikoa karibia Mitano kabila ya Mbio zake kuishia rasmi Mkoani Ruvuma ( Songea ) ambako ndiko Alikodakiwa / Alikokamatwa.

Namaliza tu kwa kusema kuwa kwa Teknolojia Kubwa iliyoko Tanzania kwa sasa na Intelijensia Mahiri ya Jeshi la Polisi, JWTZ na TISS ukiona umefanya Tukio lolote lile baya cha kufanya haraka sana ambacho nakushauri ni Wewe Kujiua tu ila usijidanganye kuwa hutopatikana kamwe kwa Kigezo cha Kutegemea Waganga wa Kienyeji kama ambavyo alikuwa akifanya huyu Kijana Muuaji Kato aliyemuua Afisa wa JWTZ Kanali Deogratius Muna ( Mtani wangu wa Kinyiramba ) kutokea Mkoa wa Singida.

Hongera sana PT kwa Kumkamata.

Kufahamu mkasa huo, soma: Updates za kifo cha Afande Luteni Kanali Muna aliyeuawa Kawe kwa kuchomwa kisu na dereva bajaji Kato
Kwa hiyo Askari wetu akipata matatizo Askari mwenzao wanaweza kufanya ufuatiliaji ila kwa wananchi story nyingi
 
mim nilishaacha haya mambo sim yangu ya mkononi ni yangu mwenyewe litakalotokea kwa matumizi mabaya ya sim yangu, nitawajibika mwenyewe. Hata uje kikongwe unaomba mawasiliano umpgie ndg yako sipo tayari kukupa sim yangu
Sahihi mkuu
 
Tunatakiwa tufahamu kuwa duniani kote mhalifu anayetafutwa (hata mimi na wewe ikitokea ,Mungu aepushe ) hukumbwa na vitu viwili vikuu ambavyo ni :

1) Hofu (Fear): ni hali ya wasiwasi inayompata mtu au mnyama mbele ya mwingine au kingine kisichompendeza au kuhatarisha usalama wake.

2) Woga (Paranoia/ Anxiety) (Naomba nirekebishwe): ni tabia ya kupatwa na hofu kupita kiasi inayokuwa ndani ya binadamu juu ya kitu au vitu fulanifulani.

Hivyo vitu viwili hupelekea kufanya makosa ya kimkakati ambayo vyombo vya dola huvitumia kama faida kwao! Ukiwa na hivyo vitu ni lazima narudia tena ni lazima utafanya makosa.

Moja ya mafunzo ya kijasusi na machache kwa vyombo vya dola ni kukuondolea hivyo vitu vikuu viwili na kukupa vitu vipya! Baada ya kuondolewa hivi vitu huwa wanaweza kuhimili hali zote! Mimi na wewe hatuwezi!

Mfano 1: mwangalie Kikwete na marehemu Magufuli reaction zao kuhusu jambo lolote, utagundua mmoja amekasirika mwingine anatabasamu.

Unaweza kuona huyu aliyekasirika ni jasiri kumbe ni kinyume chake! Mwingine ana hisia mwingine anaigiza hisia!

Mfano 2: Mwangalie Putin na Kim wa Korea Kaskazini, namaanisha kampe taarifa Kim kuwa wanajeshi wako 1000 wamekufa halafu nenda kwa Putin kampe hiyo taarifa!

Nb: 1) Hisia hupelekea kufanya makosa!

Nb 2) Mhalifu siku zote huwa mwoga!

Nb 3) Dola halina hisia ila watu wake wana hisia!
Ni mtazamo wangu!
"The escape man is still human, he is still afraid, Fear becomes paranoia, paranoia ultimately psychosis. I bring this up because in one hundred and forty years, the fundamental mind of the escape man has not changed "- FBI Special Agent Alexander Mahone (Prison Break)
Ok. Good to hear this from an expert.
 
Kato sio survivor ni mtoto wa mama tu!
Usikute hapo aliishiwa hela akaanza kulialia kwa ndg jamaa na marafiki ambao tayari simu zao zilikuwa tracked!

Alitakiwa akate mawasiliano na watu wote wa karibu na hata ikitokea dharula ngumu basi angetumia code maalum kuwasiliana kwa namba nyingine pande zote.

Ukifanya uharifu ishi "kigendaeka".
 
Back
Top Bottom