Hahahahaha cocastic ,laiti watu wangejua wapo wanaowazidi ujanja na mbinu,wangepunguza ujuaji,uharifu na hasira zisizo za maana.Aliishiwa pesa ya matumizi bhana. Ndo maana amedakwaa.
Kosa alilofanya huyo jamaa ni kuendelea kubakia Tanzania , hana akiliMkuu, unazungumzia Tanzania hii hii? Ni wangapi wanajua hata crypto?
Hahahahhaa sasa haya mambo ya kusaka wahalifu,yapo kiwango usichokijua wewe. Na wengi hujianganya kwamba kwa vile sijaonekana,basi nimeua soo.nasemaje... Natafuna lines natupa kule halafu sim natupa yenyewe tupu bila line then ataokota mtu mwingne ataweka lain zake au tauza kivyovyote! Vipi hapo sijauza msala?
Mkuu kama ndugu yako ana laini ya mtu mwingine na muhalifu akatumia laini ya mtu mwingine?Nasema asingekuwa ana wasiliana na ndugu,jamaa na marafiki hata kama angetupa simu lakini polisi watafatilia anae piga simu za rafiki na ndugu kwa sana na tena namba mpya.
Kuna mwamba anaitwa Dan Cooper , aliwahi teka ndege na kudai pesa na akalipwa burungutu la pesa na akaruka kutoka kwenye ndege aliyoiteka kwa kutumia parachuteTunatakiwa tufahamu kuwa duniani kote mhalifu anayetafutwa (hata mimi na wewe ikitokea ,Mungu aepushe ) hukumbwa na vitu viwili vikuu ambavyo ni :
1) Hofu (Fear): ni hali ya wasiwasi inayompata mtu au mnyama mbele ya mwingine au kingine kisichompendeza au kuhatarisha usalama wake.
2) Woga (Paranoia/ Anxiety) (Naomba nirekebishwe): ni tabia ya kupatwa na hofu kupita kiasi inayokuwa ndani ya binadamu juu ya kitu au vitu fulanifulani.
Hivyo vitu viwili hupelekea kufanya makosa ya kimkakati ambayo vyombo vya dola huvitumia kama faida kwao! Ukiwa na hivyo vitu ni lazima narudia tena ni lazima utafanya makosa.
Moja ya mafunzo ya kijasusi na machache kwa vyombo vya dola ni kukuondolea hivyo vitu vikuu viwili na kukupa vitu vipya! Baada ya kuondolewa hivi vitu huwa wanaweza kuhimili hali zote! Mimi na wewe hatuwezi!
Mfano 1: mwangalie Kikwete na marehemu Magufuli reaction zao kuhusu jambo lolote, utagundua mmoja amekasirika mwingine anatabasamu.
Unaweza kuona huyu aliyekasirika ni jasiri kumbe ni kinyume chake! Mwingine ana hisia mwingine anaigiza hisia!
Mfano 2: Mwangalie Putin na Kim wa Korea Kaskazini, namaanisha kampe taarifa Kim kuwa wanajeshi wako 1000 wamekufa halafu nenda kwa Putin kampe hiyo taarifa!
Nb: 1) Hisia hupelekea kufanya makosa!
Nb 2) Mhalifu siku zote huwa mwoga!
Nb 3) Dola halina hisia ila watu wake wana hisia!
Ni mtazamo wangu!
"The escape man is still human, he is still afraid, Fear becomes paranoia, paranoia ultimately psychosis. I bring this up because in one hundred and forty years, the fundamental mind of the escape man has not changed "- FBI Special Agent Alexander Mahone (Prison Break)
FBI na utabe wao kwenye issue za criminal investigation ,walishindwa kumnasa The legendary Dan Cooper mpaka leoTunatakiwa tufahamu kuwa duniani kote mhalifu anayetafutwa (hata mimi na wewe ikitokea ,Mungu aepushe ) hukumbwa na vitu viwili vikuu ambavyo ni :
1) Hofu (Fear): ni hali ya wasiwasi inayompata mtu au mnyama mbele ya mwingine au kingine kisichompendeza au kuhatarisha usalama wake.
2) Woga (Paranoia/ Anxiety) (Naomba nirekebishwe): ni tabia ya kupatwa na hofu kupita kiasi inayokuwa ndani ya binadamu juu ya kitu au vitu fulanifulani.
Hivyo vitu viwili hupelekea kufanya makosa ya kimkakati ambayo vyombo vya dola huvitumia kama faida kwao! Ukiwa na hivyo vitu ni lazima narudia tena ni lazima utafanya makosa.
Moja ya mafunzo ya kijasusi na machache kwa vyombo vya dola ni kukuondolea hivyo vitu vikuu viwili na kukupa vitu vipya! Baada ya kuondolewa hivi vitu huwa wanaweza kuhimili hali zote! Mimi na wewe hatuwezi!
Mfano 1: mwangalie Kikwete na marehemu Magufuli reaction zao kuhusu jambo lolote, utagundua mmoja amekasirika mwingine anatabasamu.
Unaweza kuona huyu aliyekasirika ni jasiri kumbe ni kinyume chake! Mwingine ana hisia mwingine anaigiza hisia!
Mfano 2: Mwangalie Putin na Kim wa Korea Kaskazini, namaanisha kampe taarifa Kim kuwa wanajeshi wako 1000 wamekufa halafu nenda kwa Putin kampe hiyo taarifa!
Nb: 1) Hisia hupelekea kufanya makosa!
Nb 2) Mhalifu siku zote huwa mwoga!
Nb 3) Dola halina hisia ila watu wake wana hisia!
Ni mtazamo wangu!
"The escape man is still human, he is still afraid, Fear becomes paranoia, paranoia ultimately psychosis. I bring this up because in one hundred and forty years, the fundamental mind of the escape man has not changed "- FBI Special Agent Alexander Mahone (Prison Break)
Kama mlinzi hio tochi kaitegesha hapo na yeye yupo kwenye eneo lingine?Ni sawa na mlinzi amlike tochi akiwa lindo,af ajidae kwamba wezi hawatajua alipo.
Dawa ili usikamatike tumia WhatsAppKiufupi polisi duniani kote wana mitambo ya kusikiliza na kukutrack popote ulipo duniani kote.
Njia rahisi wakupate wana chukuwa namba za watu wako wa karibu kupitia mtandao wa simu.
Hapa hata kama utabadilisha namba wanajua huyu ni wewe kwa kupitia njia mbili sauti yako au wanamfata alie pigiwa atowe ushahidi kama kweli alikuwa mtuhumiwa alie ongea nae.
Mtuhumiwa kosa lake mara nyingi inayo sababisha akamatwe ni kufanya mawasiliano na mzee,mke,mchumba,ndugu au marafiki. Pia kutumia kitambulisho kama Passport au Nida kwa kusafiria au kusajili namba ya simu kwa kutumia vitambulisho husika. Pia njia ya kutumia kutoa hela kwenye bank yake kwa 🏧 au tawi la bank hii hujua huyu mtu yupo eneo gani.
Huo ni uongoooo kwa sisi tuliosoma cybersecurity simu yoyote inatrackiwaHiyo ni kweli hujaona hata kwenye movie mtu kama anatafutwa hatumiagie smartphone wanatumiaga simu hazina intaneti hata, wanasiasa wote ukiwachunguza utakuta Wana hizi simu ndogondogo hazitrackiwi
Hapo kwenye uvuvi nenda katika visiwa vidogo vidogo vilivyopo ziwani hasa huko Kanda ya Ziwa. Huko hakuna minara ya simu. Endelea kuvuna majarife/ makokoro bila wasiwasi.Hapo nunua line ya mchongo isiyo na usajili wa majina yako. .tafuta chaka mikoa ambayo ina shuguli za madini na uvuvi (wageni huwa wengi) hvyo hakuna atakayehisi ugeni wako ..jitupie huko kisha kata mawasiliano na mtu yoyote kwa muda wa mwaka mmoja.
ukishatumia simu tu hata kama line si yako ukawasiliana na jamaa zako au marafiki tayari watajua ulipo. Hapo si vizuri kuelezea sana maana kuna watuhumiwa wanapita humu pia. Kifupi ukifanya kosa jisalimishe tu kwa wahusika tafuta mwanasheria mzuri halafu ndugu na jamaa watafute hela ya kuhongaHapo nunua line ya mchongo isiyo na usajili wa majina yako. .tafuta chaka mikoa ambayo ina shuguli za madini na uvuvi (wageni huwa wengi) hvyo hakuna atakayehisi ugeni wako ..jitupie huko kisha kata mawasiliano na mtu yoyote kwa muda wa mwaka mmoja.
.... mwingine alikuwa Usama bin Laden! Kupokea na kutoa taarifa ilikuwa kupitia wapiga mbio wake. He never used any electronic device! Japo at last alidakwa but CIA walitumia muda na nguvu ya zaida kumnasa.Mzee Mmoja muuza mahindi aliwai tuadisia kwamba field marshal Feder kastro alikua hatumii Cha saa,mkanda,simu ili asidakwe na majasusi wa C.I.A ,mfumo wa mawasiliano wa ana kwa ana ndo majasusi wote hua wanautumia kukwepa kunaswa
Ila na wewe jela hutoki mileleFuraha yangu ni kwamba Muna hatofufuka kamwe.
Kwa akili zako,mlinzi atategeshea tochi inawaka! Imekuwa taa? Mlinzi wa tochi,uwezo huo hana. Na akifanya hivyo ujue punguani.Kama mlinzi hio tochi kaitegesha hapo na yeye yupo kwenye eneo lingine?