Kukamatwa Juzi kwa Kato Rasta Muuaji wa Afande Muna Kawe ni jibu tosha kuwa huwezi Kuikimbia popote pale Jamhuri kama ikikutaka

Kukamatwa Juzi kwa Kato Rasta Muuaji wa Afande Muna Kawe ni jibu tosha kuwa huwezi Kuikimbia popote pale Jamhuri kama ikikutaka

Aliishiwa pesa ya matumizi bhana. Ndo maana amedakwaa.
Hahahahaha cocastic ,laiti watu wangejua wapo wanaowazidi ujanja na mbinu,wangepunguza ujuaji,uharifu na hasira zisizo za maana.
Ila tu nachoshangaa,mbona wanajeshi wanafunzwa nidhamu ya hali ya juu, kwanza muonekano wake tu ulitakiwa umjengee heshima. Sasa,inasikitisha mtu wa cheo cha juu,kuanza kuzozana na watu mitaani wamepinda zao,kumpisha dogo haikuwa dhalau au aibu,sema na dogo aliona kama ni kesi na iwe, hasira zikamponza.
Hakika kama alitumia simu,pengine alikuwa anaaga.
 
Huyo bwana mdogo kafanya uzembe/utoto kama angekua serious wasingempata.

Unafanya UTUMBO halafu unatumia tecnolojia lazima ukamatwe Kama kuku.

REJEA kipindi Cha analog Kuna wahuni wengi sana walifanya UTUMBO huo hawakukamatwa walikimbilia huko Tena kwenye nchi hii hii hawakuvuka boda kabisa.

Ila kipindi hiki Cha tecnolojia ukitumia tu mapema unadakwa Kama kuku.
 
Mkuu, unazungumzia Tanzania hii hii? Ni wangapi wanajua hata crypto?
Kosa alilofanya huyo jamaa ni kuendelea kubakia Tanzania , hana akili
Unaofanya mauaji au kosa la jinai ,tupa line za simu ,tupa simu , toroka nje ya nchi ,hasa nchi jirani hapa kama Uganda ,Kenya , Mozambique nk kwa njia za panya , simple
 
nasemaje... Natafuna lines natupa kule halafu sim natupa yenyewe tupu bila line then ataokota mtu mwingne ataweka lain zake au tauza kivyovyote! Vipi hapo sijauza msala?
Hahahahhaa sasa haya mambo ya kusaka wahalifu,yapo kiwango usichokijua wewe. Na wengi hujianganya kwamba kwa vile sijaonekana,basi nimeua soo.
Kwenye simu, huwa kuna namba furani ya utambulisho. Uwekapo laini na ikasoma, basi mtandao huo utaweza kujua simu iliyowekwa laini furani,ina namba fulani. Kufanya hivo, utampa msala atakaeiokota. Na ndo maana siku hizi utaona watu wanasita kununua nunua simu used. Wengine kuweka lehani mara mia akupe hela na simu yako uondoke nayo kuliko iwe ya wizi au ya matukio.
-Laini zote zilizoingia kwenye hiyo simu, zitajulikana.
-zilifanya nini(kupiga/kupokea, meseji, huduma za miamara,.......)
Kwa kifupi,iwe simu,iwe computer, vitu vya kielectronic kwa kweli sahau kuvitumia katika mambo ambayo unajua yanaweza kuleta utata.
Majumbani watu walioelimika,wana mikamera isiyoonekana,sasa mwizi atajiadai wamelala,kesha anaonyeshwa alivyoingia na kutoka.
Kikubwa tu watu wangejenga mbinu za kutafuta maisha kihalali,lakini ujanja ujanja kwa sasa haulipi kama zamani.
Kwani mfano wale wanaotumiana mapicha ya nyuchi,yanaonekanaje!!! Kuna watu wana uwezo wa kukuingilia na kujua unawasiliana na kina nani,mnatumiana vitu gani. Bila wewe kujua.
Kifupi kwenye dili za ajabu,simu acha nyumbani, nenda uibe,uue,ufanye ufanyalo, simu utaikuta tu. Iba tu king'amuzi uone. Ndo utajua kumbe hivi vitu shida tu.
 
Tunatakiwa tufahamu kuwa duniani kote mhalifu anayetafutwa (hata mimi na wewe ikitokea ,Mungu aepushe ) hukumbwa na vitu viwili vikuu ambavyo ni :

1) Hofu (Fear): ni hali ya wasiwasi inayompata mtu au mnyama mbele ya mwingine au kingine kisichompendeza au kuhatarisha usalama wake.

2) Woga (Paranoia/ Anxiety) (Naomba nirekebishwe): ni tabia ya kupatwa na hofu kupita kiasi inayokuwa ndani ya binadamu juu ya kitu au vitu fulanifulani.

Hivyo vitu viwili hupelekea kufanya makosa ya kimkakati ambayo vyombo vya dola huvitumia kama faida kwao! Ukiwa na hivyo vitu ni lazima narudia tena ni lazima utafanya makosa.

Moja ya mafunzo ya kijasusi na machache kwa vyombo vya dola ni kukuondolea hivyo vitu vikuu viwili na kukupa vitu vipya! Baada ya kuondolewa hivi vitu huwa wanaweza kuhimili hali zote! Mimi na wewe hatuwezi!

Mfano 1: mwangalie Kikwete na marehemu Magufuli reaction zao kuhusu jambo lolote, utagundua mmoja amekasirika mwingine anatabasamu.

Unaweza kuona huyu aliyekasirika ni jasiri kumbe ni kinyume chake! Mwingine ana hisia mwingine anaigiza hisia!

Mfano 2: Mwangalie Putin na Kim wa Korea Kaskazini, namaanisha kampe taarifa Kim kuwa wanajeshi wako 1000 wamekufa halafu nenda kwa Putin kampe hiyo taarifa!

Nb: 1) Hisia hupelekea kufanya makosa!

Nb 2) Mhalifu siku zote huwa mwoga!

Nb 3) Dola halina hisia ila watu wake wana hisia!

Ni mtazamo wangu!

"The escape man is still human, he is still afraid, Fear becomes paranoia, paranoia ultimately psychosis. I bring this up because in one hundred and forty years, the fundamental mind of the escape man has not changed "- FBI Special Agent Alexander Mahone (Prison Break)
Kuna mwamba anaitwa Dan Cooper , aliwahi teka ndege na kudai pesa na akalipwa burungutu la pesa na akaruka kutoka kwenye ndege aliyoiteka kwa kutumia parachute
Na kutoweka na hajawahi kupatikana mpaka leo
Ni moja ya wahuni ambao waliwahi kufanikiwa kukwepa mitego yote ya vyombo vya upelelezi kama FBI pale marekani
Ni unsolved mystery mpaka leo
 
Tunatakiwa tufahamu kuwa duniani kote mhalifu anayetafutwa (hata mimi na wewe ikitokea ,Mungu aepushe ) hukumbwa na vitu viwili vikuu ambavyo ni :

1) Hofu (Fear): ni hali ya wasiwasi inayompata mtu au mnyama mbele ya mwingine au kingine kisichompendeza au kuhatarisha usalama wake.

2) Woga (Paranoia/ Anxiety) (Naomba nirekebishwe): ni tabia ya kupatwa na hofu kupita kiasi inayokuwa ndani ya binadamu juu ya kitu au vitu fulanifulani.

Hivyo vitu viwili hupelekea kufanya makosa ya kimkakati ambayo vyombo vya dola huvitumia kama faida kwao! Ukiwa na hivyo vitu ni lazima narudia tena ni lazima utafanya makosa.

Moja ya mafunzo ya kijasusi na machache kwa vyombo vya dola ni kukuondolea hivyo vitu vikuu viwili na kukupa vitu vipya! Baada ya kuondolewa hivi vitu huwa wanaweza kuhimili hali zote! Mimi na wewe hatuwezi!

Mfano 1: mwangalie Kikwete na marehemu Magufuli reaction zao kuhusu jambo lolote, utagundua mmoja amekasirika mwingine anatabasamu.

Unaweza kuona huyu aliyekasirika ni jasiri kumbe ni kinyume chake! Mwingine ana hisia mwingine anaigiza hisia!

Mfano 2: Mwangalie Putin na Kim wa Korea Kaskazini, namaanisha kampe taarifa Kim kuwa wanajeshi wako 1000 wamekufa halafu nenda kwa Putin kampe hiyo taarifa!

Nb: 1) Hisia hupelekea kufanya makosa!

Nb 2) Mhalifu siku zote huwa mwoga!

Nb 3) Dola halina hisia ila watu wake wana hisia!

Ni mtazamo wangu!

"The escape man is still human, he is still afraid, Fear becomes paranoia, paranoia ultimately psychosis. I bring this up because in one hundred and forty years, the fundamental mind of the escape man has not changed "- FBI Special Agent Alexander Mahone (Prison Break)
FBI na utabe wao kwenye issue za criminal investigation ,walishindwa kumnasa The legendary Dan Cooper mpaka leo
 
Ndio maana huwa tunasema kila kukicha kuwa picha zako, video zako na mawasiliano yako ya mtandaoni ni signature moja kali sana.

Imagine umefanya tukio, watu wakachukua picha yako facebook, instagram au twitter haraka na kuisambaza!

Labda uende Mloganzila kujibadilisha sura!
 
Kiufupi polisi duniani kote wana mitambo ya kusikiliza na kukutrack popote ulipo duniani kote.

Njia rahisi wakupate wana chukuwa namba za watu wako wa karibu kupitia mtandao wa simu.

Hapa hata kama utabadilisha namba wanajua huyu ni wewe kwa kupitia njia mbili sauti yako au wanamfata alie pigiwa atowe ushahidi kama kweli alikuwa mtuhumiwa alie ongea nae.

Mtuhumiwa kosa lake mara nyingi inayo sababisha akamatwe ni kufanya mawasiliano na mzee,mke,mchumba,ndugu au marafiki. Pia kutumia kitambulisho kama Passport au Nida kwa kusafiria au kusajili namba ya simu kwa kutumia vitambulisho husika. Pia njia ya kutumia kutoa hela kwenye bank yake kwa 🏧 au tawi la bank hii hujua huyu mtu yupo eneo gani.
Dawa ili usikamatike tumia WhatsApp
 
Hapo nunua line ya mchongo isiyo na usajili wa majina yako. .tafuta chaka mikoa ambayo ina shuguli za madini na uvuvi (wageni huwa wengi) hvyo hakuna atakayehisi ugeni wako ..jitupie huko kisha kata mawasiliano na mtu yoyote kwa muda wa mwaka mmoja.
Hapo kwenye uvuvi nenda katika visiwa vidogo vidogo vilivyopo ziwani hasa huko Kanda ya Ziwa. Huko hakuna minara ya simu. Endelea kuvuna majarife/ makokoro bila wasiwasi.
 
Hapo nunua line ya mchongo isiyo na usajili wa majina yako. .tafuta chaka mikoa ambayo ina shuguli za madini na uvuvi (wageni huwa wengi) hvyo hakuna atakayehisi ugeni wako ..jitupie huko kisha kata mawasiliano na mtu yoyote kwa muda wa mwaka mmoja.
ukishatumia simu tu hata kama line si yako ukawasiliana na jamaa zako au marafiki tayari watajua ulipo. Hapo si vizuri kuelezea sana maana kuna watuhumiwa wanapita humu pia. Kifupi ukifanya kosa jisalimishe tu kwa wahusika tafuta mwanasheria mzuri halafu ndugu na jamaa watafute hela ya kuhonga
 
Mzee Mmoja muuza mahindi aliwai tuadisia kwamba field marshal Feder kastro alikua hatumii Cha saa,mkanda,simu ili asidakwe na majasusi wa C.I.A ,mfumo wa mawasiliano wa ana kwa ana ndo majasusi wote hua wanautumia kukwepa kunaswa
.... mwingine alikuwa Usama bin Laden! Kupokea na kutoa taarifa ilikuwa kupitia wapiga mbio wake. He never used any electronic device! Japo at last alidakwa but CIA walitumia muda na nguvu ya zaida kumnasa.
 
Back
Top Bottom