Kukamatwa Juzi kwa Kato Rasta Muuaji wa Afande Muna Kawe ni jibu tosha kuwa huwezi Kuikimbia popote pale Jamhuri kama ikikutaka

Kukamatwa Juzi kwa Kato Rasta Muuaji wa Afande Muna Kawe ni jibu tosha kuwa huwezi Kuikimbia popote pale Jamhuri kama ikikutaka

Hapo nunua line ya mchongo isiyo na usajili wa majina yako. .tafuta chaka mikoa ambayo ina shuguli za madini na uvuvi (wageni huwa wengi) hvyo hakuna atakayehisi ugeni wako ..jitupie huko kisha kata mawasiliano na mtu yoyote kwa muda wa mwaka mmoja.
Uue mwanajeshi,upotee mwaka? Kwamba umeua sooo! Ukitaka kujua thamani ya mwanajeshi,waulize akifia vitani wanafanyaje! Kama maiti haiwezi kukamatwa, je aliyeuliwa unadhani mwisho itakuwaje? Kwanza nasikia watu walihangaishwa, huku muuaji wakiwa wameshamjua! Wana historia chafu jama
 
Kiufupi polisi duniani kote wana mitambo ya kusikiliza na kukutrack popote ulipo duniani kote.

Njia rahisi wakupate wana chukuwa namba za watu wako wa karibu kupitia mtandao wa simu.

Hapa hata kama utabadilisha namba wanajua huyu ni wewe kwa kupitia njia mbili sauti yako au wanamfata alie pigiwa atowe ushahidi kama kweli alikuwa mtuhumiwa alie ongea nae.

Mtuhumiwa kosa lake mara nyingi inayo sababisha akamatwe ni kufanya mawasiliano na mzee,mke,mchumba,ndugu au marafiki. Pia kutumia kitambulisho kama Passport au Nida kwa kusafiria au kusajili namba ya simu kwa kutumia vitambulisho husika. Pia njia ya kutumia kutoa hela kwenye bank yake kwa 🏧 au tawi la bank hii hujua huyu mtu yupo eneo gani.
Kuishi bila kuwasiliana na watu ni ngumu mno unless mke wako awe mjanja nae awe anatumia simu ambayo sio yake kukupigia au Landline ya ofisi.
 
Kwaiyo unataka kusema kama angeitupa simu na raini asingekamatwa
Angedakwa tu. Simple scenario ingekuwa hivi; lazima angekuja kukatiza mahali penye public CCTV kama stendi au benki; in a matter of seconds, picha yake ingekuwa compared against picha zake zilizo kwenye kanzidata tofauti including NIDA, mitandao ya simu, etc. Ingejulikana day fulani alikuwa mahali fulani na nguvu ingeelekezwa huko.

Kwa dunia ya leo ya teknolojia, vijana waache usela mavi! Wawe raia wema wala hutaona ukifautiwa na yeyote. Ukileta ujinga; siku zako wala sio nyingi - utaishi kwa tabu, mateso, na hofu sana duniani humu.
 
Aliua Kawe Dar es Salaam tarehe 25 Oktoba, 2023 na Kakamatwa rasmi Juzi tarehe 29 Desemba, 2023 huko Mkoani Ruvuma.

Na ili kuonyesha kuwa Intelijensia ya Jeshi la Polisi nchini ni Kali ni kwamba ndani ya Miezi hii Miwili Muuaji Rakesh Kato Mayele ( alias ) Rasta Kato au Rasta Mayele ( Dereva Bajaji Kawe ) alikuwa akiwakimbia / akiwakwepa Polisi kwa Kuhamahama Mikoa ambapo aliishi Mikoa karibia Mitano kabila ya Mbio zake kuishia rasmi Mkoani Ruvuma ( Songea ) ambako ndiko Alikodakiwa / Alikokamatwa.

Namaliza tu kwa kusema kuwa kwa Teknolojia Kubwa iliyoko Tanzania kwa sasa na Intelijensia Mahiri ya Jeshi la Polisi, JWTZ na TISS ukiona umefanya Tukio lolote lile baya cha kufanya haraka sana ambacho nakushauri ni Wewe Kujiua tu ila usijidanganye kuwa hutopatikana kamwe kwa Kigezo cha Kutegemea Waganga wa Kienyeji kama ambavyo alikuwa akifanya huyu Kijana Muuaji Kato aliyemuua Afisa wa JWTZ Kanali Deogratius Muna ( Mtani wangu wa Kinyiramba ) kutokea Mkoa wa Singida.

Hongera sana PT kwa Kumkamata.

Kufahamu mkasa huo, soma: Updates za kifo cha Afande Luteni Kanali Muna aliyeuawa Kawe kwa kuchomwa kisu na dereva bajaji Kato
Ni kweli kama IKIKUTAKA kwa sababu HAIKUWATAKA waliomshambulia Lissu 2017.
 
Tuhitimishe hapa kwa kusema tu kuwa hali ngumu ya kiuchumi ndiyo imemfanya kato akamatwe,maana inafika kipindi lazima uwapigie simu rafiki zako wa karibu wakubust kiuchumi.
Yani huyu ilibidi aende vijijin huko mikoa ya mbali akawe kibarua tu wa mashambani.
... eti aende kijijini mbali! Mbali ipi hiyo? Labda sio Tanzania. Unajua mabalozi wa nyumba 10 ni part of the security system ya nchi?
 
Kuna mwamba anaitwa Dan Cooper , aliwahi teka ndege na kudai pesa na akalipwa burungutu la pesa na akaruka kutoka kwenye ndege aliyoiteka kwa kutumia parachute
Na kutoweka na hajawahi kupatikana mpaka leo
Ni moja ya wahuni ambao waliwahi kufanikiwa kukwepa mitego yote ya vyombo vya upelelezi kama FBI pale marekani
Ni unsolved mystery mpaka leo
Na mpaka leo picha yake haijulikani

Ova
 
Usitoe pongezi kirahisi rahisi.inawezekana ni uzembe wa mtuhumiwa.
Na ndivyo ilivyo duniani kote! Security investigation always ni "michezo ya makosa". Ni lazima ujichanganye somewhere ili wafanikishe kazi yao; otherwise, hakuna mhalifu angekamatwa duniani.
 
Aliua Kawe Dar es Salaam tarehe 25 Oktoba, 2023 na Kakamatwa rasmi Juzi tarehe 29 Desemba, 2023 huko Mkoani Ruvuma.

Na ili kuonyesha kuwa Intelijensia ya Jeshi la Polisi nchini ni Kali ni kwamba ndani ya Miezi hii Miwili Muuaji Rakesh Kato Mayele ( alias ) Rasta Kato au Rasta Mayele ( Dereva Bajaji Kawe ) alikuwa akiwakimbia / akiwakwepa Polisi kwa Kuhamahama Mikoa ambapo aliishi Mikoa karibia Mitano kabila ya Mbio zake kuishia rasmi Mkoani Ruvuma ( Songea ) ambako ndiko Alikodakiwa / Alikokamatwa.

Namaliza tu kwa kusema kuwa kwa Teknolojia Kubwa iliyoko Tanzania kwa sasa na Intelijensia Mahiri ya Jeshi la Polisi, JWTZ na TISS ukiona umefanya Tukio lolote lile baya cha kufanya haraka sana ambacho nakushauri ni Wewe Kujiua tu ila usijidanganye kuwa hutopatikana kamwe kwa Kigezo cha Kutegemea Waganga wa Kienyeji kama ambavyo alikuwa akifanya huyu Kijana Muuaji Kato aliyemuua Afisa wa JWTZ Kanali Deogratius Muna ( Mtani wangu wa Kinyiramba ) kutokea Mkoa wa Singida.

Hongera sana PT kwa Kumkamata.

Kufahamu mkasa huo, soma: Updates za kifo cha Afande Luteni Kanali Muna aliyeuawa Kawe kwa kuchomwa kisu na dereva bajaji Kato
Miongoni mwa viumbe wachache toka mkoa wa Mara wenye unafiki wa kiwango cha SGR, akifuatiwa na Waitara
 
Acha ujuaji WA kijinga , kuna Kato mnyiramba ?
Unajua maana ya kina Kato kwa kihaya na luganda ?
Halafu huyo kijana si alikuwa ameshakamatwa kitambo ?
Si wewe uliwahi kusema humu kuwa ameshakamatwa alipokuwa anaenda kufuatilia pikipiki yake iliyoibiwa huko Mwenge ?
[emoji38][emoji38][emoji38] nakumbuka alisema hivyo
 
Ufikiriaji huu tuuache 2023.

2024 tutumie Akili.

Askari wa aina hiyo, ma-idiot ambao wamejazana majeshini, hiyo ndio hukumu yao sahihi, hukumu ambayo huwezi kukata rufaa. He deserved to die, I honestly believe he was a lialibility to the taxpayer.
Hakuwa na sababu ya kuonyesha ubabe
 
Tena km alishaingia Songea, angezamia matimira, kilagano, muhukuru au mpitimbi, angekamatwaa wapiiii?

Yaan huko angekua kibarua wa mashambani, angetafuta demu na kuoa hapo kijijini, angekaa miaka kadhaa afu angechoropokaa.
Kukamatiwa Songea usidhani ni kwa bahati mbaya au nzuri. Most likely Polisi walikuwa wanafuatilia nyendo zake kuona direction aliyotaka kuelekea ku-prove huyu ndiye. Asingevuka border huyu!
 
Simple tricks from my own knowledge

Ckuzote cmu huonyesha mahali ulipo, especially tz you can escape easily mtego wa kukamatwa na PT/ TISS

First switch VPN
You can buy new phone
Or
Change cmu card while your phone on vpn through WiFi
Then communicate through internet call (chat & call through telegram )

Pesa zote ziamishie binance uwe na crypto currency tuu USDT , huduma zote lipa kwa mfumo huo

Usijarbu ku withdrawal pesa bank au kwa agent kwakutumia details zako
Hivi muendesha bajaji anaanzia wapi kuijua binance?😂
 
Ukishayakanyaga kama hivo wewe fanya kama umezaliwa leo huna ndugu huna rafiki huna mzazi huna mtu yoyote unayemfahamu kimbilia mikoa ya kikimo huko kapige vibarua tu, kifupi anza maisha mapya unaweza survive kwa muda mrefu
Mikoa ipi ya kilimo isiyo na mabalozi wa nyumba 10? Unajua hao ni sehemu ya mfumo wa usalama wa nchi? Jidanganye!
 
Kosa alilofanya huyo jamaa ni kuendelea kubakia Tanzania , hana akili
Unaofanya mauaji au kosa la jinai ,tupa line za simu ,tupa simu , toroka nje ya nchi ,hasa nchi jirani hapa kama Uganda ,Kenya , Mozambique nk kwa njia za panya , simple
Sio rahisi unavyofikiria. Tukio lile halikuwa planned; ilikuwa ghafla sana yale mauwaji.

Probably, cash aliyokuwa nayo at that moment haizidi elfu 10; sijui huko nchi jirani angeenda kwa ungo?
 
Back
Top Bottom