Kukamatwa kwa Boniface na Malissa: CHADEMA yatoa neno

Hapatakalika siyo?
Kamanda Mroto amestaafu, lakini polisi bado wapo, na kipigo cha mbwa koko kiko pale pale! Jaribuni muone.
Huu ujinga watisheni punguani. Msiishi kwa kukariri. Jana siyo leo.

Polisi wanatakiwa wafuate sheria. Kama watuhumiwa wana hatia, wawapeleke mahakamani.

Watu wajinga kama Murilo wasivuruge nchi kwa kutofuata sheria. Wasipowapeleka mahakamani, wananchi wana haki ya kuandamana ili kuwazuia wahuni kuvuruga nchi.
 
WAO CHADEMA kila kitu ni siasa ni hii ni kwa sababu hawana hoja
Siasa ndio maisha ndg. Kodi kwenye bidhaa na vitu vyote vinavyofanya gharama za maisha ziwe juu ni mambo yanayowekwa na wanasiasa! Sheria kandamizi zinawekwa na wanasiasa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…