Kukamatwa kwa katibu mkuu wa CWT ni ukiukwaji wa sheria za kimataifa, education international yatoa tamko

HaMachiach

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
3,417
Reaction score
6,149
Inawezekana wengi hawana habari ya kinachoendelea chama cha walimu, ila kwa habari zilizotufikia ni kwamba mgogoro unaoendelea ndani ya chama cha walimu umechukua sura nyingine mara baada ya katibu mkuu wa CWT kukamatwa hapo jana 16 Februari 2024. Punde tu baada ya kukamatwa shirika la kimataifa lenye mtandao wa walimu zaidi ya milioni 32 likatoa tamko linaloendelea kusambaa. Nalinukuu hapa chini.

Education International Africa condemns the arrest of TTU leaders

Education International Africa has learnt with dismay about the intimidation, harassment, and arrest of the General Secretary of Tanzania Teachers Union (TTU), Japhet Maganga, and 9 or more other members of the TTU National Council in Dodoma this morning.

Japhet Maganga and the other union leaders were arrested during a legitimate TTU National Council meeting, protected by the union constitution and the country’s labour laws.

The action taken by the police is a serious violation of international labour standards, in particular, International Labour Organisation (ILO) Conventions 87 and 98, which guarantee freedom of association, the right to organise and collectively bargain. The Government of Tanzania is a signatory to these Conventions.

Education International Africa strongly condemns the harassment, intimidation, and arrest of Japhet Maganga and other union leaders. We call for their immediate and unconditional release.

The reported decision by the Government of Tanzania to deny Japhet Maganga secondment or Leave Without Pay and ordering him to leave his position of TTU General Secretary and go back to school amounts to interreference in the internal affairs of the union and a clear violation of international labour standards.

In accordance with international labour standards, it is imperative that the Government of Tanzania respects TTU's right to independently elect its leadership and conduct its activities without any form of interference.

Education International is the global union federation, representing more than 32.5 million teachers and education support personnel in 180 countries through 380 member organisations. Tanzania Teachers Union is an affiliate of Education International.

Education International is committed to closely monitor the situation, and if necessary, to report violations of trade union rights in Tanzania to international bodies such as the United Nations, ILO, UNESCO, the Global Partnership for Education (GPE) and the African Commission on Human and Peoples' Rights
 
Waalimu ile solidarity forever vipi?

16 February 2024
Baraza Kuu la Chama cha Walimu (CWT) limemsimamisha uongozi Katibu Mkuu wake, Japhet Maganga kwa madai ya kukosa sifa ya kuongoza baada ya kufukuzwa kazi na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Temeke.

View: https://m.youtube.com/watch?v=nfGl9fah7EY

Toka maktaba:

‘Aliyekataa uteuzi’ asimamishwa kazi​

Na Mwandishi WetuDecember 7, 2023
MAGANGA-780x470.jpg

DAR ES SALAAM: Tume ya Utumishi ya Walimu (TSC) imemsimamisha kazi aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) Mwalimu Maganga Japhet, kwa utoro kazini na kukaidi maelekezo ya viongozi wake.

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke, Elihuruma Mabelya amesema katika taarifa leo Alhamis Disemba 7 kuwa, Maganga ambaye ni Mwalimu wa Shule ya Msingi Tandika amesimamishwa kazi kuanzia Disemba 5.

Maganga aliteuliwa na Rais Samia Suluhu Hassan kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kyerwa Mkoani Kagera lakini hakuitumikia nafasi hiyo. Hata hivyo alipoomba kibali cha kuendelea na nafasi yake ya Ukatibu Mkuu alikataliwa na mwajili wake alimtaka kurejea kwenye majukumu ya Ualimu mara moja kuanzia Oktoba 1, 2023
1708169368147.png

Alipaswa kurejea kwenye Cheo cha Mwalimu Mwandamizi Daraja A katika Manispaa ya Temeke baada ya maombi yake ya kuongeza muda wa kuazimwa kukataliwa. Aliomba kibali cha kuazimwa kuitumikia CWT (Agosti 21, 2017 hadi Septemba 30, 2020), akaomba tena Juni 1, 2020 na kumaliza muda wake Septemba 30, 2023, Mwalimu Maganga aliomba kibali kingine kwa mara ya tatu ndipo kikataliwa
 
Inawezekana wengi hawana habari ya kinachoendelea chama cha walimu, ila kwa habari zilizotufikia ni kwamba mgogoro unaoendelea ndani ya chama cha walimu umechukua sura nyingine mara baada ya katibu mkuu wa CWT kukamatwa hapo jana 16 Februari 2024. Punde tu baada ya kukamatwa shirika la kimataifa lenye mtandao wa walimu zaidi ya milioni 32 likatoa tamko linaloendelea kusambaa. Nalinukuu hapa chini.

Education International Africa condemns the arrest of TTU leaders

Education International Africa has learnt with dismay about the intimidation, harassment, and arrest of the General Secretary of Tanzania Teachers Union (TTU), Japhet Maganga, and 9 or more other members of the TTU National Council in Dodoma this morning.

Japhet Maganga and the other union leaders were arrested during a legitimate TTU National Council meeting, protected by the union constitution and the country’s labour laws.

The action taken by the police is a serious violation of international labour standards, in particular, International Labour Organisation (ILO) Conventions 87 and 98, which guarantee freedom of association, the right to organise and collectively bargain. The Government of Tanzania is a signatory to these Conventions.

Education International Africa strongly condemns the harassment, intimidation, and arrest of Japhet Maganga and other union leaders. We call for their immediate and unconditional release.

The reported decision by the Government of Tanzania to deny Japhet Maganga secondment or Leave Without Pay and ordering him to leave his position of TTU General Secretary and go back to school amounts to interreference in the internal affairs of the union and a clear violation of international labour standards.

In accordance with international labour standards, it is imperative that the Government of Tanzania respects TTU's right to independently elect its leadership and conduct its activities without any form of interference.

Education International is the global union federation, representing more than 32.5 million teachers and education support personnel in 180 countries through 380 member organisations. Tanzania Teachers Union is an affiliate of Education International.

Education International is committed to closely monitor the situation, and if necessary, to report violations of trade union rights in Tanzania to international bodies such as the United Nations, ILO, UNESCO, the Global Partnership for Education (GPE) and the African Commission on Human and Peoples' Rights
Tanzania ukipata tatizo ni lako na familia yako hata kama ulikuwa unatetea umma. Mpaka tutakapojitambua.
 
CWT-Chama cha wezi Tanzania.

Kusema ukweli walimu hatujaumia wala haituumi....wote hao dugu moja.

Huyu katibu aliamua kukaa upande wa serikali kukandamiza haki za walimu....sasa upepo umegeuka acha wanyukane, wakitaka wauane kabisa.
 
Inawezekana wengi hawana habari ya kinachoendelea chama cha walimu, ila kwa habari zilizotufikia ni kwamba mgogoro unaoendelea ndani ya chama cha walimu umechukua sura nyingine mara baada ya katibu mkuu wa CWT kukamatwa hapo jana 16 Februari 2024. Punde tu baada ya kukamatwa shirika la kimataifa lenye mtandao wa walimu zaidi ya milioni 32 likatoa tamko linaloendelea kusambaa. Nalinukuu hapa chini.

Education International Africa condemns the arrest of TTU leaders

Education International Africa has learnt with dismay about the intimidation, harassment, and arrest of the General Secretary of Tanzania Teachers Union (TTU), Japhet Maganga, and 9 or more other members of the TTU National Council in Dodoma this morning.

Japhet Maganga and the other union leaders were arrested during a legitimate TTU National Council meeting, protected by the union constitution and the country’s labour laws.

The action taken by the police is a serious violation of international labour standards, in particular, International Labour Organisation (ILO) Conventions 87 and 98, which guarantee freedom of association, the right to organise and collectively bargain. The Government of Tanzania is a signatory to these Conventions.

Education International Africa strongly condemns the harassment, intimidation, and arrest of Japhet Maganga and other union leaders. We call for their immediate and unconditional release.

The reported decision by the Government of Tanzania to deny Japhet Maganga secondment or Leave Without Pay and ordering him to leave his position of TTU General Secretary and go back to school amounts to interreference in the internal affairs of the union and a clear violation of international labour standards.

In accordance with international labour standards, it is imperative that the Government of Tanzania respects TTU's right to independently elect its leadership and conduct its activities without any form of interference.

Education International is the global union federation, representing more than 32.5 million teachers and education support personnel in 180 countries through 380 member organisations. Tanzania Teachers Union is an affiliate of Education International.

Education International is committed to closely monitor the situation, and if necessary, to report violations of trade union rights in Tanzania to international bodies such as the United Nations, ILO, UNESCO, the Global Partnership for Education (GPE) and the African Commission on Human and Peoples' Rights
Waalimu ni darala na busati la viongozi...
Huyo kajanjaruka ndo maana anatiwa misukosuko.

Serikali in deep side haipendi kuona kuna kada inayoamka nankujitambua.

CCM Hoyeee🤣
 
Back
Top Bottom