Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Kwani babalovo ndio mani banduguMtia nia wa Ubunge jimbo la Kigoma Mjini Clayton Chipando ameziomba taasisi zinazohusika na ulinzi na usalama pamoja na Chama cha Mapinduzi chenyewe, kufuatiliaji undani wa taarifa inayosambaa mitandaoni kuhusu watu wasiofahamika kunaswa na wananchi wakiwa na kura feki katika Kata ya Gungu.
kwamba na huyu naye anataka kuwa mbunge? Tanzania tunaleta zarau sana aisee, kweli wana kigoma mmekosa mtu wa maana kuwawakilisha?Mtia nia wa Ubunge jimbo la Kigoma Mjini Clayton Chipando ameziomba taasisi zinazohusika na ulinzi na usalama pamoja na Chama cha Mapinduzi chenyewe, kufuatiliaji undani wa taarifa inayosambaa mitandaoni kuhusu watu wasiofahamika kunaswa na wananchi wakiwa na kura feki katika Kata ya Gungu.
haahaaa, NRNEMtia nia wa Ubunge jimbo la Kigoma Mjini Clayton Chipando ameziomba taasisi zinazohusika na ulinzi na usalama pamoja na Chama cha Mapinduzi chenyewe, kufuatiliaji undani wa taarifa inayosambaa mitandaoni kuhusu watu wasiofahamika kunaswa na wananchi wakiwa na kura feki katika Kata ya Gungu.
Duh,Mtia nia wa Ubunge jimbo la Kigoma Mjini Clayton Chipando ameziomba taasisi zinazohusika na ulinzi na usalama pamoja na Chama cha Mapinduzi chenyewe, kufuatiliaji undani wa taarifa inayosambaa mitandaoni kuhusu watu wasiofahamika kunaswa na wananchi wakiwa na kura feki katika Kata ya Gungu.
Yote HeriWatajuana wenyewe, acha walaruane maana shamba ni la bwana Heri, mbuzi wamekula mahindi ya bwana Heri.