kakamatwa lini kwa issue gani, siasa ndio zilivyo uongo kiasi na ukweli kiasi...usishangae sana, halafu watu wanauana kwa madem kaka usishangae sana, kwan we hujawahi kuhonga halafu familia yako ikalala njaa
nilivosikia jana usiku ni kwamba alikamatwa kwa kosa la kufanya mkutano bila kibali. alikuwa maeneo ya Nzovwe pale
Vyovyote itakavyo kuwa hata kama alipeleka wasanii wake pia anahaki yakufanyaburudani pia mbeya kwani nisehemu ya tanzania uhuru huo anao pia hoja hiyo haina mantiki hata kidogo ya kumzalilisha kiongozi aliye chaguliwa na wananchi kwa kumkamata na police.
Kwa hiyo itaitwa Chadema Fiesta Mbeya?Eti alipeleka wasanii wake watumbuize bure Ruanda Nzovwe ili ahujumu Fiesta ya Clouds inayotarajiwa kufanyika leo pia uwanja wa Sokoine...
Kwa hiyo itaitwa Chadema Fiesta Mbeya?