Kukamatwa kwa Sugu Mbeya; Mwendelezo wa mikenge waliyoingia CHADEMA 2010...

Kukamatwa kwa Sugu Mbeya; Mwendelezo wa mikenge waliyoingia CHADEMA 2010...

Kwa taarifa nilizozipata Fiesta mbeya hakuna watu wana kila aina ya silaha, kuzuia fiesta. nafikiri hii ndiyo nguvu ya umma MDAU uliyokuwa unaisema
Afadhali hata mimi ningebeba rungu tuone kama watatumbuiza mapolisi pekee
kwanza makongamano ya fiesta yanaongeza maambukizi ya ukimwi yangepigwa marufuku.

Ukiwasikia wenyewe kwenye redio yao wanavyouza meno utadhani wanaongelea kitu cha maana mno
kingereza kibovu Celebrity eti wanajiita wao watangazaji ni ma celebrate hovyooooo.
 
Sugu alikuwa akifanya mkutano wake then aende bungeni ila kwa siasa za CCM,wametia fitina akamatwe ila ameshaachiwa,na huko kwenye FIESTA hakuna watu hata kidogo na SUGU,MBEYA hapa ni rais wa jiji hili,vijana ndiyo waliomchagua,wala si wazee wa CCM,Na vijana hapa MBEYA wapo wengi sana kupita kiasi.
 
"Damu Chafu", Kibonde!Umetaja jina hili kichefuchefu kimenipiga. Mpumba u wa akili. Mjing a wa fikra kibonde mkubwa.
 
Upo sahihi kabisa, ilikua ni mkakati wake wa kuhujumu Fiesta ya leo, wakati wananchi wanataraji awe bungeni akiwasilisha shida zao, yeye yupo Mbeya kugombana na Clouds!!!???
je,leo kuna Bunge?
 
Amenishangaza sana huyu mbunge, ambaye kimsingi wana-Mbeya walitaraji kwamba atakua mkombozi wao....sasa mambo ya ugomvi wa mademu, Clouds FM, Fiesta anapeleka kwa wananchi!!!? Matatizo ya msingi ni hayo? Kwenye kampeni alikua kila siku anapiga kelele kwamba eti akiingia atauza gari la mkuu wa mkoa, kanunua zuri kuliko hilo....kakamatwa, lakini hamna nguvu ya umma kumtetea...CHADEMA mnatakiwa mjaribu kum-contain huyu bwana, otherwise aibu inawasubiri uchaguzi wa 2015 msipokua makini....
Nugu Mdau jaribu kutumia uwezo wako kidogo tu kujaribu kuelewa logic ya kile anachoongelea mheshimiwa mbunge wa Mgeya mjini mr Mbilinyi,ni kuhusu biashara ya sanaa kuhodhiwa na kikundi fulani cha watu ambao wanajipangia wamsapoti nani na kumlipa nini,sasa yeye anajaribu kuchochea jitihada za wasanii katika kujikomboa,kujua thamani yao,wanatakiwa kuwa zaidi ya hapo walipo kwa uwezo wao mkubwa walionao bila kupangiwa na kikundi fulani cha watu(clouds) chukulia mfano wasanii wa Nigeria walivyo vema,ni sababu ya kukomaa kwao,hii ni sehemu tu ya kile anachokipigania mheshimiwa mbunge,ni ngumu kidogo kumuelewa.
 
Sasa nini matokeo yake,Sugu VS Clouds baada ya Fiesta????!!mtoa mada tafadha nihabarishe,waligombana huko mbeya au walielewana
????
 
Back
Top Bottom