Afadhali hata mimi ningebeba rungu tuone kama watatumbuiza mapolisi pekeeKwa taarifa nilizozipata Fiesta mbeya hakuna watu wana kila aina ya silaha, kuzuia fiesta. nafikiri hii ndiyo nguvu ya umma MDAU uliyokuwa unaisema
Maisha ya kuishi kwa visasi siyo.
je,leo kuna Bunge?Upo sahihi kabisa, ilikua ni mkakati wake wa kuhujumu Fiesta ya leo, wakati wananchi wanataraji awe bungeni akiwasilisha shida zao, yeye yupo Mbeya kugombana na Clouds!!!???
Nugu Mdau jaribu kutumia uwezo wako kidogo tu kujaribu kuelewa logic ya kile anachoongelea mheshimiwa mbunge wa Mgeya mjini mr Mbilinyi,ni kuhusu biashara ya sanaa kuhodhiwa na kikundi fulani cha watu ambao wanajipangia wamsapoti nani na kumlipa nini,sasa yeye anajaribu kuchochea jitihada za wasanii katika kujikomboa,kujua thamani yao,wanatakiwa kuwa zaidi ya hapo walipo kwa uwezo wao mkubwa walionao bila kupangiwa na kikundi fulani cha watu(clouds) chukulia mfano wasanii wa Nigeria walivyo vema,ni sababu ya kukomaa kwao,hii ni sehemu tu ya kile anachokipigania mheshimiwa mbunge,ni ngumu kidogo kumuelewa.Amenishangaza sana huyu mbunge, ambaye kimsingi wana-Mbeya walitaraji kwamba atakua mkombozi wao....sasa mambo ya ugomvi wa mademu, Clouds FM, Fiesta anapeleka kwa wananchi!!!? Matatizo ya msingi ni hayo? Kwenye kampeni alikua kila siku anapiga kelele kwamba eti akiingia atauza gari la mkuu wa mkoa, kanunua zuri kuliko hilo....kakamatwa, lakini hamna nguvu ya umma kumtetea...CHADEMA mnatakiwa mjaribu kum-contain huyu bwana, otherwise aibu inawasubiri uchaguzi wa 2015 msipokua makini....