Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
GereshaKila siku kupitia vyombo vya habari tunasikia watia nia wa CCM sehemu mbali mbali za nchi yetu amawanahojiwa na TAKUKURU au kukamatwa na polisi kwa TUHUMA za RUSHWA.
Je, hii inamaana gani kwa utawala wa awamu ya 5?
Mgawa bodaboda amechukuliwa hatua gani?Kila siku kupitia vyombo vya habari tunasikia watia nia wa CCM sehemu mbali mbali za nchi yetu amawanahojiwa na TAKUKURU au kukamatwa na polisi kwa TUHUMA za RUSHWA.
Je, hii inamaana gani kwa utawala wa awamu ya 5?
Kila siku kupitia vyombo vya habari tunasikia watia nia wa CCM sehemu mbali mbali za nchi yetu amawanahojiwa na TAKUKURU au kukamatwa na polisi kwa TUHUMA za RUSHWA.
Je, hii inamaana gani kwa utawala wa awamu ya 5?
Uko sahihi hoja yangu wakati huu ambapo serikali inajinasibu kupunguza au komesha rushwa.[emoji69]......Watia nia walikua wanatoa rushwa tangu enzi za awamu zilizopita, tofauti ninayo iona sasa ni Takukuru kupewa meno na sasa hakuna mwana siasa ama mtia nia aliye juu ya sheria.
Huo ni mtazamo wangu
Inadhihirsha kuwa Magufuli ametuhadaa Watanzania kuwa anapambana na rushwa na ufisadi kumbe ni kiini macho!!
[emoji69]......Watia nia walikua wanatoa rushwa tangu enzi za awamu zilizopita, tofauti ninayo iona sasa ni Takukuru kupewa meno na sasa hakuna mwana siasa ama mtia nia aliye juu ya sheria.
Huo ni mtazamo wangu
Huo ni mtazamo wako mkuu, sio mbaya kwasababu kila mmoja ana mtazamo wake na kila mtazamo wa kila mmoja ni sahihi kwa mtazamo wake...[emoji69]Takukuru wamepewa meno au Menu? Maana kama ni meno tungeona utitiri wa watoa rushwa kupandishwa mahakamani. Tena ukizingatia chama kinachoongoza kwa kutoa rushwa, ndio walikuwa wanamvika rais kilemba cha ukoka kuwa kaidhibiti rushwa! Ninapokuambia wamepewa menu na sio meno, fuatilia vizuri utakuta hata hao takukuru ni shehemu ya hiyo rushwa.
Huo ni mtazamo wako mkuu, sio mbaya kwasababu kila mmoja ana mtazamo wake na kila mtazamo wa kila mmoja ni sahihi kwa mtazamo wake...[emoji69]
Basi sawa..[emoji69]Hamna cha mtazamo boss, kama kweli kuna vita ya rushwa na sio chuki binafsi dhidi ya wale wasio upande wa rais, tuone minimum wanaccm 50 wakipandishwa mahakamani.
Nguzo kuu ya ccm ni RUSHWA na UCHAWI , hawa ambao hujawasikia kwenye rushwa tambua kwamba wako kwa waganga .Kila siku kupitia vyombo vya habari tunasikia watia nia wa CCM sehemu mbali mbali za nchi yetu amawanahojiwa na TAKUKURU au kukamatwa na polisi kwa TUHUMA za RUSHWA.
Je, hii inamaana gani kwa utawala wa awamu ya 5?
Kwa akili yako unaona kuna vita dhidi ya rushwa awamu ya 5 ? bila shaka utakuwa na mapungufu mazito sana !Huo ni mtazamo wako mkuu, sio mbaya kwasababu kila mmoja ana mtazamo wake na kila mtazamo wa kila mmoja ni sahihi kwa mtazamo wake...[emoji69]
Hakuna TAKUKURU ya hovyo kama ya awamu hii. Kwanza kabisa inatazama sura na pili imewekewa mipaka ya kazi. Ukishavuka daraja fulani kwa hii TAKUKURU ni kwamba hukamatiki...utakula rushwa hadi uvimbiwe lakini unadunda tu!Takukuru wamepewa meno au Menu? Maana kama ni meno tungeona utitiri wa watoa rushwa kupandishwa mahakamani. Tena ukizingatia chama kinachoongoza kwa kutoa rushwa, ndio walikuwa wanamvika rais kilemba cha ukoka kuwa kaidhibiti rushwa! Ninapokuambia wamepewa menu na sio meno, fuatilia vizuri utakuta hata hao takukuru ni shehemu ya hiyo rushwa.