Hiyo inadhihirisha kuwa wanaccm walikuwa wanampaka Magufuli mafuta kwa mgongo wa chupa, na ukweli kuwa walikuwa wanahadaa umma kuwa rushwa nchi hii imedhibitiwa uko peupe. Pia imedhihirika wazi kuwa takukuru huwa inatumika kukomoa wasio upande wa watawala, na wala hawapambani na rushwa yoyote, kwani hakuna ambaye kafikishwa mahakamani mpaka sasa. Tulisema takukururu walienda kwenye ofisi za cdm sio kuchunguza chochote, bali walienda kutekeleza siasa chafu.
Cc: Chagu wa malunde, crimea, yehodaya, kipande, patriot