Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Ukweli mtupu !Hakuna TAKUKURU ya hovyo kama ya awamu hii. Kwanza kabisa inatazama sura na pili imewekewa mipaka ya kazi. Ukishavuka daraja fulani kwa hii TAKUKURU ni kwamba hukamatiki...utakula rushwa hadi uvimbiwe lakini unadunda tu!
Ukweli ni kuwa CCM na rushwa ni kama pete na kidole, rushwa ndiyo hewa ya oxygen inayoipa CCM uhai...itokomeze rushwa na CCM itakoma kuwepo. Je, nyumba inaweza kusimama kama msingi wake umevunjwa? Jibu ni hapana!
Rushwa ipo ndani ya Chama Tawala hakuna anaeyepigana nayoKila siku kupitia vyombo vya habari tunasikia watia nia wa CCM sehemu mbali mbali za nchi yetu amawanahojiwa na TAKUKURU au kukamatwa na polisi kwa TUHUMA za RUSHWA.
Je, hii inamaana gani kwa utawala wa awamu ya 5?
Kama tungefuata mtazamo wa kila mtu tusingekwa na mpango wa kitaifa. Hata mijadala isingekuwepo maana kila mtazamo ni sahihi hata wa upuuzi tungekubali.Huo ni mtazamo wako mkuu, sio mbaya kwasababu kila mmoja ana mtazamo wake na kila mtazamo wa kila mmoja ni sahihi kwa mtazamo wake...[emoji69]
Tusubirie kuona na kusikia matukio ya ajabuajabu kabla mchujo wa mwisho...Nguzo kuu ya ccm ni RUSHWA na UCHAWI, hawa ambao hujawasikia kwenye rushwa tambua kwamba wako kwa waganga .
" ccm ni ukoo wa panya, baba mwizi, mama mwizi, kaka mwizi, dada mwizi,babu mwizi, bibi mwizi, mjomba mwizi, shangazi mwizi. By Mh Nassari, Ex. Mbunge wa Arumeru Mashariki.Kila siku kupitia vyombo vya habari tunasikia watia nia wa CCM sehemu mbali mbali za nchi yetu amawanahojiwa na TAKUKURU au kukamatwa na polisi kwa TUHUMA za RUSHWA.
Je, hii inamaana gani kwa utawala wa awamu ya 5?
Tusiendekeze chuki za vyama kwenye mambo ya msingi, kwangu mimi mtu anapo wajibika lazima nimpe credit zake pasipi kujalisha susiem ama chademaKama tungefuata mtazamo wa kila mtu tusingekwa na mpango wa kitaifa. Hata mijadala isingekuwepo maana kila mtazamo ni sahihi hata wa upuuzi tungekubali.
Tunataka mitazamo sahihi.
Post namba 5 imekujibu vizuri sana. Ila umeamua kufanya ubishi tu. Na kutaka kuaminisha watu Pccb inatumika kisiasa.Hiyo inadhihirisha kuwa wanaccm walikuwa wanampaka Magufuli mafuta kwa mgongo wa chupa, na ukweli kuwa walikuwa wanahadaa umma kuwa rushwa nchi hii imedhibitiwa uko peupe. Pia imedhihirika wazi kuwa takukuru huwa inatumika kukomoa wasio upande wa watawala, na wala hawapambani na rushwa yoyote, kwani hakuna ambaye kafikishwa mahakamani mpaka sasa. Tulisema takukururu walienda kwenye ofisi za cdm sio kuchunguza chochote, bali walienda kutekeleza siasa chafu.
Cc: Chagu wa malunde, crimea, yehodaya, kipande, patriot
Post namba 5 imekujibu vizuri sana. Ila umeamua kufanya ubishi tu. Na kutaka kuaminisha watu Pccb inatumika kisiasa.
Kumbuka hawa ni watuhumiwa. Kwa hiyo usiwatie hatiani kabla ushahidi kamili haujakamilika. Subiri matokeo ya upelelezi yakamilike. Maadam awamu hii ya tano hakuna aliye juu ya sheria watapelekwa mahakamani.Nimemjibu vizuri sana, na nimemwambia kama ina meno tuone watu wako mahakamani. Kinyume na hapo hiyo taasisi inatumikia siasa safi. Tumesema zaidi ya mara moja, acheni kuingiza siasa chafu ndani ya jeshi, huyo jamaa mnamvalisha magwanda ya jeshi huku hana lolote kwenye kuzuia rushwa, zaidi ya kutumikia siasa chafu. Nalishauri jeshi liache kuingizwa kwenye siasa chafu, kwa ghiliba za wanasiasa wanaojifanya wazalendo.
Kumbuka hawa ni watuhumiwa. Kwa hiyo usiwatie hatiani kabla ushahidi kamili haujakamilika. Subiri matokeo ya upelelezi yakamilike. Maadam awamu hii ya tano hakuna aliye juu ya sheria watapelekwa mahakamani.
Sio kwa awamu hii ya tano.Hiyo delaying ndio hapo bargaining ya rushwa inapoanzia.
Sio kwa awamu hii ya tano.
Huoni kwa macho yako? Kuwa kuna wakati watu walikuwa wanaanza kuhonga kupata ubunge miaka miwili kabla ya uchaguzi. Hayo sasa hayapo.Awamu ipi boss, watu wanasifia ili kuzuga wapate ulaji. Mambo ya zilongwa mbali, zitendwa mbali.